nane nane

Joseph Nane Fils Eone (born March 12, 1987 in Yaoundé) is a Cameroonian footballer, who last played for ASIL Lysi in the Cypriot Second Division.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maonesho ya wakulima (Nane Nane): Serikali itafakari mambo haya 9

    1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa? 2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya 3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya? 4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama...
  2. JamiiForums Tanzania NANE NANE ITIMIZE MALENGO YAKE, ISIISHIE KUWA GULIO — USHAURI KWA WIZARA YA KILIMO

    Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla. Kwanza, Nane Nane isiishie kuwa gulio kubwa la kila aina ya bidhaa, vyakula na burudani. Hayo yana...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nane nane njema kutoka kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa. Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
  4. JamiiForums Tanzania Live From Uwanja wa Dr. J.S Malecela Nzuguni Dodoma, Kilele cha Nane Nane, Dodoma Kuchele!.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee Pasco, niko hapa jijini Dodoma, nikiwatangazia live mubashara, from Uwanja wa Dr. John Samwel Malecela, Nzuguni Dodoma, kuwaletea kilele cha maadhimisho ya sikuu ya Wakulima ya Nane Nane, inayoadhimishwa kitaifa hapa Dodoma, kiukweli Dodoma Kuchele...
  5. JamiiForums Tanzania TANAPA tupo Nane nane- Njiro

    Karibu utembelee Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika Viwanja vya Nanenane Njiro, jijini Arusha yanapofanyika maonesho ya 32ya Kilimo maarufu kama NaneNane yakiwa na Kauli mbiu isemayo "Tambua Soko; Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050" Ndani ya banda letu utapata elimu ya Uhifadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Tutakuwa Nane nane Arusha na aina tofauti tofauti za spicies za matunda, ya Kibiashara ama kwa matumizi ya Nyumbani

    Tunataraji kuwepo Nane nane Arusha na Spicies tofauti tofauti za miche ya matunda uanayoweza lima kibiashara ama kwa matumizi yako ya nyumbani yaani Home use. Kama uko kanda hii ya kaskazini jongea hizo siku zikifika na jiopatie mbegu ama hata kushauriana tu pia kuna matunda ya kutest...
  7. JamiiForums Tanzania Nane nane experience

    The journey to Nane Nane this year was exciting, full of lessons and knowledge exchange. About 12 farmers from Singida Region travelled for this amazing experience—Farmers Day, famously known as Nane Nane Day – (8th August 2025)! But this was not just an ordinary Nane Nane; it was an...
  8. JamiiForums Tanzania Natamani kuona Nane Nane inakuwa sikukuu ya Wakulima kama zamani

    Y
  9. JamiiForums Tanzania Heri ya Sikukuu ya Nane Nane

    Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu. Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi! Katika...
  10. JamiiForums Tanzania Heri ya Sikukuu ya Nane Nane 🫶🏾💚🇹🇿

    Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu. Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi! Katika...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wajizolea nyama ya bure nane nane

    Wananchi waliofika kwenye Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma wamepewa ofa ya kugawiwa nyama bure. Soma pia: Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima Chanzo: Global tv online
  12. JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa maonyesho ya Wamachinga

    Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana. Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji. Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi maonyesho ya nane nane Mbeya kwa mwaka huu(2025) hayatakuwepo?

    Sababu ya kuuliza iwapo mashindano haya kama yapo ni kusawazishwa kwa eneo lile kana kwamba kwamba unatengenezwa upya.
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinapatikana Nzuguni Dodoma

    Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami ukubwa tofauti tofauti 774, sqm 427, sqm 618, sqm 651 sqm. BEI ni kuanzia million 5 ,6,8 adi 14...
  15. JamiiForums Tanzania Sabasaba vs Nane nane

    Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU). Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo mwaka 1992 baada ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi...vyama vya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya sukari kilombero yawataka wakulima kuchangamkia fursa ya upanuzi wa kiwanda cha k4 katika tamasha la nane nane

    Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
  17. JamiiForums Tanzania Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki. Ukienda mbele zaidi haya ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Nane Nane Arusha, njoo ujipatie miche ya Pixie, Dragon na Tangarine

    Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia. Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet...
  20. JamiiForums Tanzania Stand ya Nanenane Dodoma ukipaki gari unapoingia kwa abiria unalipishwa, hata kama una tiketi ya basi

    Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa. 1. Ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari na wanakupa tiket. 2. Ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa, hata kama una tiket ya bus. sasa mimi kwa mfano, nimekuja na mwanafamilia nikiendesha gari yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…