Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.
Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa...