namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Habari za Jumapili wakubwa. Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji. Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu. Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima. Tumepiga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  5. JamiiForums Tanzania Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  6. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  8. JamiiForums Tanzania Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

    Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda Unafikiri anakupenda wew? Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga Anakuambia anakupenda na huku...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

    Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za madikteta na namna wanavyojibu maswali ya watawaliwa

    Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu maswali magumu au ya kukosoa, madikteta mara nyingi hupotosha mjadala kwa kuelekeza mazungumzo kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa Namna ya Kutengeneza Mtindi

    JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe. Nataka...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  14. JamiiForums Tanzania Namna ya ku withdrawal ton coins zangu kuja direct to my bank account

    habari waungwana, naomba kuelekezwa namna ya kufanya hiyo transaction kutoa ton coins zangu kuja bank account kwamwneye kujua
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  17. JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekujua namna ya ku confirm chuo cha kujiunga kwenye Multiple selection

    Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo? Na process zikoje. Natanguliza shukrani
  19. JamiiForums Tanzania Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

    Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…