namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Taiwan ataweza kukabiliana na China ki vita kama ambavyo Ukrainein?

    Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan. Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa. Je, ni kwa namna...
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  3. carnage21

    JamiiForums Tanzania Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

    Kwema wakuu!? Naomba msaada wa namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala wa mitandao ya simu.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  5. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hivi ndivyo namna ya kudili na mwanamke mwenye drama

    Wanaume wenzangu ebu tupeane ramani ya kudili na wanawake wenye drama,maana wengi wetu mnakufa kwa presha wakati familia zina wahitaji Wanawake wana namna nyingi sana za kuwachanganya wanaume,ikiwemo kutaka kukufanya ujisikie wivu mnapokuwa public kwa kujiweka karibu na wanaume wengine,au wana...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa Trump hii ndio namna nyepesi ya kufika Marekani

    Nawapa hii mbinu wala msinishukuru. Kuja kwa Turampu ni vere ize. Angalia video below.
  10. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujitetea unaposhambuliwa na mbwa

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

    Wakuu, Maisha ni fumbo, maisha ni gumzo. Tusipende kubeza watu kutokana na wanayoyapitia na wanayoyaongelea kwa maana haujayapitia. Karibuni kwa story mbali mbali wakuu
  12. Simeone

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa namna hii wanapendwa sana

    Kwema wakuu, Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

    Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume chukueni madini hapa namna ya kuishi na hawa wanawake ili usife mapema

    Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na mwanamke akifanya kitu cha kukukomoa usionyeshe kama umeumia mpuuze 2: Usiweke demokrasia na mwanamke...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

    Habari za Jumapili wakubwa. Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji. Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu. Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima. Tumepiga...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
Back
Top Bottom