namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  2. Marcy

    JamiiForums Tanzania Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

    Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda Unafikiri anakupenda wew? Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga Anakuambia anakupenda na huku...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

    Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano. Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za madikteta na namna wanavyojibu maswali ya watawaliwa

    Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu maswali magumu au ya kukosoa, madikteta mara nyingi hupotosha mjadala kwa kuelekeza mazungumzo kwenye...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  6. Akili 09 Nguvu 01

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Namna ya Kutengeneza Mtindi

    JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe. Nataka...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  8. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku withdrawal ton coins zangu kuja direct to my bank account

    habari waungwana, naomba kuelekezwa namna ya kufanya hiyo transaction kutoa ton coins zangu kuja bank account kwamwneye kujua
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  11. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Mwenyekujua namna ya ku confirm chuo cha kujiunga kwenye Multiple selection

    Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo? Na process zikoje. Natanguliza shukrani
  13. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Marekani na Israeli wakutana Tel Aviv kupanga namna ya kujibu kisasi kwa Iran. Iran yawaambia inawasubiri.

    Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua ni kwa namna gani maks zako zinapatikana usaili wa kuzungumza bila upendeleo ikiwemo sekretariate?

    👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam! Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jua namna bora ya kujibu maswali ya usaili wa mazungumzo katika sekretariate ya ajira any professional recruitment panel

    MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL. +255656480968 👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria. For example, if a...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Polisi jifunze namna bora ya kuishi na jamii

    Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kubadilisha BIOS password

    Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button. Kwa mda mrefu nilikuwa...
  18. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwasiliana na mizimu (ancestors) kwa ajili ya kupata mafanikio au kuweka mambo yako sawa

    Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa. Tunaanza. 1. Tafuta eneo safi na tulivu Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako...
  19. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Namna ya kurudisha account ya FaceBook iliyodukuliwa

    Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
Back
Top Bottom