namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

    Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu maana Gwajima anaonekana ana watu nyuma yake. Na yeye huwa si mwoga so wajipange vizuri. Katika...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  6. JamiiForums Tanzania Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

    Wakuu nadhani mko salama,. Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,. Ni hivi,. Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  8. JamiiForums Tanzania Asili haiongopi: Kuna namna CCM wameanza kuongea lugha ya CHADEMA

    Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
  9. JamiiForums Tanzania Namna na mbinu za kushinda mijadala ya mtandaoni

    NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!! Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo wako wa kidini, kisiasa, kiafya, kiuchumi na kijamii? Basi, suluhisho si kughadhabika. Hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua wanyama wana namna yao ya kujitibu?

    Katika ulimwengu wa wanyama si kila ugonjwa au majeraha huwatuma kwa daktari kwa sababu hawana! Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, wanyama wengi wamekuwa wakitumia njia zao asilia kujitibu au kupunguza maumivu wanapoumia au kuugua. Kwa mfano: Nyani walionekana wakila majani fulani ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  14. JamiiForums Tanzania Tambua nguvu yako iko kwenye namna unavyoshughulikia majaribu

    Oprah Winfrey aliwahi kusema, "Hakuna kinachotutokea kwenye maisha yetu bila kuwa na faida. Hakuna kinachotupata, hata kiwe kibaya namna gani, kinachoishia kupotea bila faida." Maisha huja na changamoto, huzuni, makosa na maumivu. Lakini katika kila tukio, hata lile la kusikitisha au la aibu...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukizi namna polisi walivyo wapiga vibaya watu wa CUF

    Hii ilikuwa mbaya sana
  16. JamiiForums Tanzania Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

    Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako. Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  18. JamiiForums Tanzania Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Mapapa watatu kutoka Afrika na namna walivyoubadilisha Ukristo

    Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo ni ubaguzi wa rangi katika dini! Habari kamili; Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…