namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya tunaomba Waraka Namba Moja wa Mwaka 2021 wa kutokuzuia maiti

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

    Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa. Sio kwa ubaya ningeweza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
  5. JamiiForums Tanzania Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani

    "MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka...
  6. JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  8. JamiiForums Tanzania Je, Nini kinakujia akilini kuombwa vocha na mdada baada ya kubadilishana namba za simu?

    Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu zinakata sina meseji ukizingatia bado hamjefahamiana vizuri hii inaashiria nini. Je? Hii ni sawa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuji-brand na kuji-mwambafy: Unaomba namba ya simu unambeep na kuifuta papo hapo

    Shalom, Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto. Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa. Kesho yake nikampigia daah aliwasha sana moto akaniumbua sana wewe nani acha kushoboka hovyo na maneno...
  11. JamiiForums Tanzania Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  12. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ndiye mchawi namba moja Simba

    Najua wengi itakua ngumu kunielewa. Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka vitu nje ya uwanja ila ndani ya uwanja timu inachofanya nadhani mnakijua halafu baada ya mchezo...
  13. JamiiForums Tanzania Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

    Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi. Kujua namba ya utambuzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  16. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  17. JamiiForums Tanzania Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  18. JamiiForums Tanzania Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni bingwa wa maneno, wenzio wanajua fix

  20. JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…