nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji Smart kitochi kiwe cha voda au all networks

    Nashida na haka kasimu nipo dar mwenye nacho au anaeuza tukutane budget yangu ndogo dondosha offer PM au hapa nitakufata PM
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kontena ft 20 -USED

    Salaam, Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu) Mwenye nalo njoo DM. =65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kidney Beans kwa wingi

    Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi. Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene. Kwa kuanzia inahitajika tani 60, ila yakiwa bora basi tunaendelea kufanya biashara kwani tunahitaji zaidi ya tani 200. Naomba ofa...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Single Mother tu

    Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa. Awe na umri kati ya 23-27yrs. Mtoto awe mmoja tu. Kabila, awe katika lolote kati ya haya, Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from Rwanda, Mdigo -Tanga, Mrangi- Dodoma, Mkerewe-Mwanza, Msukuma -Geita. Rangi, awe mweusi asilia ambae...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji system ya Microfinance

    Habari Wakuu! Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo. Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa Bajeti ya 5.5 Milioni

    Nahitaji kununua mojawapo kati ya hizi Nadia Allex Spacio old/new. Bajeti yangu 5.5M Mwenye nalo anicheck
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miamvuli ya kukingia biashara

    Wakuu Nahitaji chimbo la kupata miamvuli ya kukingia biashara Kalaga Baho Nongwa ngara23
  10. A

    JamiiForums Tanzania 40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu

    Nahitaji mafuta/dawa ya kukuzia ndevu Kama Kuna anayeuza tuwasiliane
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji choroko 100kg nipo Dar

    Habari, Nahitaji choroko 100kg nipo dar mabibo, nanunua kwa sh 1800 Hadi sh 2000 kwa kilo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu/mfugaji wa kondo chotara

    Wanajenzi na shida na kondo chotara nipo Arusha
  14. JamiiForums Tanzania Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. I

    JamiiForums Tanzania KWELI ARV's zinatumiwa na baadhi ya wafugaji kunenepesha mifugo

    Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji moja ya gari hizi kwa milini tatu na nusu

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni tatu ,natafuta moja ya gari hizi pichani.Niko Kibaha,piga 0713 -039 875
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  18. 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe ni muelewa tu sio mjuaji. Najibu PM zote kuanzia sasa kwa mengi zaidi.
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba maeneo ya Masaki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji Starlet Used

    Habari wakuu Nahitaji starlet used ,iwe kwenye hali nzuri. Niko Kibaha Maili moja piga 0713 039 875
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…