nafuu

  1. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Camera Lumix S5 kwa bei nafuu

    Nauza Camera yangu aina ya lumix s5. Niliinunua ikiwa mpya na nimeitumia kwa muda wa mwaka mmoja. Haina tatizo lolote na iko kwenye hali safi sana. Ni nzuri sana kwa ajili ya kufanyia video production. Specs: Brand: Panasonic Lumix Model: Lumix S5 Sensor: 24MP Full Frame 6K CMOS sensor Video...
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

    Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana. 1. Notes tumeziandaa wenyewe. 2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo. 3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo. 4...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Landcruiser Prado (manual inauzwa) kwa bei nafuu- 0747379399

    Contact: 0747379399 Price: 60,000,000 (negotiable) Make: Toyota Model: Landcruiser Prado Model number: JTEBD9 Body type: Station wagon Colour: White Year of manufacturing: 2016 Engine capacity:2986 Fuel used: Diesel Transmission: MANUAL, MANUAL, MANUAL MANUAL, MANUAL Engine number: 5L6278
  6. JamiiForums Tanzania Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vyuo vinavyotoa courses za certificates Kwa ada nafuu

    Wakuu nisaidieni hili
  9. JamiiForums Tanzania Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana. Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  11. JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu huu wa digitali, ni utahira kukataa kuletewa Intaneti ya kasi ya juu kwa bei nafuu ya Elon Musk

    Na wote tunashuhudia kwa jinsi internet inavyozidi kuwa sehemu kubwa ya maisha yetu, Dunia ya sasa Internet ni hitaji moja wapo muhimu katika kuondoa ujinga, kurahisisha mawasiliano, kufanya tafiti, kufanya biashara, n.k. Ni muda sasa umepita ishu ya internet ya Elon Musk kuletwa bongo...
  12. JamiiForums Tanzania Wauzaji na wafungaji wa AC kwa gharama nafuu

    Habari, kutokana na uwepo wa joto katika mazingira yetu ya nyumbani na maofisini kampuni ya OKEMI technical services imekuletea OFA KUBWA yaani punguzo la bei kwa 30% za AC na kufunga AC kwa gharama nafuu zaidi kutoka kwa mafundi wetu wenye uzoe wa miaka nane ya kutoa huduma za kufunga na...
  13. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  14. JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Jipatie laptops za aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Wasalam, wapendwa wateja! Karibuni mjipatie Laptop used zenye ubora mkubwa za aina mbalimbali kwa bei nafuu. Duka letu lipo Arusha Mjini 👇👇👇 Brand: DELL 3150 Processor: INTEL DUAL CORE RAM: 4GB HDD: 500GB PRICE: 450K CONTACT: 0744109778
  16. JamiiForums Tanzania Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

    Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni. Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo. You...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini sisi tusiwaombe hawa jamaa zetu waturuhusu kununua ya mafuta ya bei nafuu?

    Japan waliruhusiwa na G7 kununua haya mafuta yaliyowekewa international sanction ya bei nafuu. Kwa nini na sisi tusiwaombe hawa rafiki zetu waturuhusu na sisi kuyanunua haya mafuta ili kunusuru uchumi wetu?
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Offer ya Ramani Tsh. 80,000

    Vyumba vinne, Master bedroom, sitting room, dining room, jiko na stoo Bei 80,000/= Offer ya siku chache karibuni Mawasiliano: 0766043459 Karibuni
  20. N

    JamiiForums Tanzania Trector aina ya Lovol ni bei nafuu sana

    Wanajamvi Mimi ni mkulima mdogo mwenye shauku kubwa ya kumiliki trector Kwa mwaka huu 2023, nmechoshwa na gharama kubwa ya matrector huko Songea, heka Moja mwaka huu tumelima Kwa TSH 90000 had 100000, hapo hujarudia wakati wa kupanda! Hiki ni kilimo Cha mpunga! Nmeona sio vibaya nijchange...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…