nafuu

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  2. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel 5a, 5G inauzwa bei nafuu

    Brand : Google Pixel Model : Google Pixel 5a Network: 5G Ram : 6 GB Storage: 128 GB Screen Size: 6.34 inches CPU : 2.4 GHz Cover la sim gumu unapewa bure Bei: 430,000/= Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k Nipo Dar es salaam Karibuni sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nimekuletea scientific calculator original Casio fx 991 kwa bei nafuu kabisa

    Kwa matumizi bora ya maofisin na shuleni piah chuoni, hii ni nafasi kwa walimu wa sekondari,pia watu binasfi hasa walioakribu na vyuo pia wanachuo hii ni fursa kwenu Dunia sasa imebadilika sana, serikali imefungua milango kwa wanafunzi wa kidato cha tatu kutumia calculator kwa ajili ya usaidizi...
  4. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  6. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
  7. Chief-Mkwawa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho. Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye...
  8. Kakondele

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  9. Laptop bei nafuu

    JamiiForums Tanzania List ya laptop za bei nafuu

    LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 🔥🔥🔥🔥 DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000🔥🔥🔥🔥 HP 640G1 CORE i5 HDD 500 RAM 4GB BEI 400,000🔥🔥🔥🔥🔥 HP FOLIO 9470 CORE i5 HDD 320 RAM 4GB BEI 400,000🔥🔥🔥🔥 HP...
  10. D

    JamiiForums Tanzania AGIZA NAMI KWA BEI NAFUU

    1 Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka...
  12. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Miliki Online Business kwa Gharama Nafuu

    Habari za wakti huu? Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao. Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda bidhaa zako au kuzipata kutoka kwa wauzaji na kuziuza kupitia majukwaa yako. Dropshipping: Hii ni aina ya...
  13. Cheology

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  14. Jo Assistant

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza rangi nzuri za kupaka kwenye nyumba kwa Bei nafuu

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia Contemporary House niza Gharama Nafuu ni nani?

    Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga! Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary House" niza gharama nafuu? Zile nyumba usipokuwa na pesa nakwambia utadhalilika na hakika utakuwa mmoja...
  19. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  20. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata jiwe la kaburi (Headstone) kwa bei nafuu hapa Dar?

    Anaefahamu wapi naweza pata jiwe la kaburi lililotengenezwa kwa granite au marble. Headstone. Anasaidie wapi naweza kulipata kwa bei nzuri. Asante
Back
Top Bottom