nafuu

  1. JamiiForums Tanzania Nishati NAFUU ni ipi katika Biashara yangu

    Wana JF habari, Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na...
  2. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Website kwa kutumia AI.Karibu Tukuhudumie kwa Gharama nafuu

    Miaka ya nyuma ilikuwa tukitaka kutengeneza website tunaa ama kuandika code moja kwa moja,kutumia template mbalimbali na zaidi tulikuwa tukitumia CMS kama wordpress na nyingine katika kutengeneza website.Jambo hili lili fanya gharama na muda wa kutengeneza website uwe mrefu sana. Hata hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Pata Mbwa aina ya German Sherpherd na Boerboel kwa bei nafuu dar na mikoani tunatuma

  4. JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  5. JamiiForums Tanzania Kahama: Huenda hii ikawa ni miongoni mwashule nzuri zaidi Tanzania ya binafsi yenye ada nafuu lakini haikosi top 10 za Kitaifa || Tunaupongeza uongozi

    Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za kipekee zinazojenga msingi thabiti wa nidhamu, maarifa na mafanikio ya kudumu. 11 Septemba 2026 — Shule...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mukuru walalamikia nyumba za bei nafuu: “Tunauliza, nani anapewa nyumba?”

    NAIROBI — Wakazi wa Mukuru, Nairobi, wameibua maswali kuhusu upatikanaji wa nyumba za bei nafuu zinazojengwa katika eneo hilo, wakidai kuwa baadhi ya nyumba hizo tayari zimeonekana kutokuwa na nafasi kwa wakazi wanaohitaji zaidi. Katika video, baadhi ya wakazi wanaeleza wasiwasi wao kuhusu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ilipofikia Sasa Hata 'Banana Republic' Ina Nafuu

    Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili? Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba bei nafuu

  9. JamiiForums Tanzania Natafsiri maandishi na video ya kiingereza kwenda lugha ya kiswahili kwa bei nafuu

    NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
  10. JamiiForums Tanzania Gari hizi zinauzwa bei nafuu landcruiser 55m, harrier anaconda 50m, v8 vxr lc 300 mpya bei 750m

    HIlo gari juu landcruiser inauzwa 55,000,000 TZS HIlo gari juu harrier anaconda inauzwa 50,000,000 TZS Wale wapenda chombo cha moto kipya ni landcruiser lc300 ni jipya new bei 750,000,000 TZS., Magari yote yanapatikana mkoa wa dar es salaam, wilaya ya kinondoni, kuona 30,000 TZS,,, Wasiliana...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa gharama nafuu

    Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa ghalama nafuu
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji UV LED blacklight\taa yenye uwezo wa kuburn screen sihitaji kutumia Jua, kama itapatikana Kwa bei nafuu hapa Dar es salam au mkoani

    Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa Magari na Mafundi Gereji: OBDII Diagnosis Scanners za Bei Nafuu!

    Wakuu, Kwa mafundi magari (mechanics) na wamiliki wa magari wanaopenda kufanya ukaguzi wa magari yao mara kwa mara, kuna OBD II Diagnosis Scanners hapa za bei ndogo. 1. ELM 327 Mini OBD II Bluetooth Scanner - Tsh 15,000/= -Hii ipo ya V2.1 versions -Inatumia Bluetooth, utadownload App kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Huduma za Afya Karibu na Nafuu Kwa Wananchi

    Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa nyumba yako kwa gjarama nafuu sana.

    Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  19. JamiiForums Tanzania 🔥UNAHITAJI WEB HOSTING YENYE KASI NA KWA GHARAMA NAFUU? TSH. 45,000 TU KWA MWAKA MZIMA🔥

    🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10 Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
  20. JamiiForums Tanzania 🔥UNAHITAJI WEB HOSTING YENYE KASI NA KWA GHARAMA NAFUU? TSH 45,000 TU KWA MWAKA🔥

    🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10 Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…