🔹 Magari mapya na yaliyotumika kutoka ndani na nje ya nchi
🔹 Marejesho nafuu hadi miezi 24
🔹 Mkopo wa hadi 65% ya gharama ya gari
🔹 Mkopo unaidhinishwa ndani ya saa 72
🔹 Riba ni ya kiwango cha chini kabisa
🔹 Huduma ni Haraka, Rahisi na hadi mlangoni kwako!
Usikose fursa hii ya kipekee miliki...
Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡
Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800
🔴 PUNA BEACH PLOTS – Kigamboni
📍 mradi upo umbali wa:
Km 38 kutoka Ferry
Km 35 kutoka Daraja la Nyerere
Mita 500 kutoka barabara kuu
Mita 650 kutoka baharini 🌊
💰 Bei:
1 sqm = TSh 22,000...
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Karibu sana katika huduma zetu kwa wateja wenye Dekoda za Azam kutokq Malawi
Kama huna tutakuuzia, piga simu, tuma sms au Whatsapp muda wowote 24 hrs
0761751162
Karibu sana
Mfano
kusikia gharama za maisha ya mkoa flani zipo chini kumbe kuingiza hata pesa kidogo ni shida,
Kusikia mkoa flani una mzunguko wa pesa kumbe kumbe maisha yapo juu mno
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake.
Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
Katika uzi huu nitakua naweka subwoofers,soundbars,home theater,speakers na radio za brand tofauti tofauti .
Nitakua nauza bei nafuu kuliko mahali popote Tanzania hii
utachagua bidhaa na kuletewa popote ulipo
0614228735
Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani
Bone marrow transplant
Liver resection
Pancreas resection
lung resection
Coronary Revascularization
Surgical Ventricular Restoration
Septal Myectomy
Thoracic...
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Wadau nauza hii simu yangu
Maelezo yake na picha hapo chini
Samsung A34
Storage 128gb
Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data
Napatikana Dar es salaam
Namba 0765137266
Bei Tsh 430,000
NB:Angalia post za mbele kwa fridge latest na Bei mpya
Uzi huu ni kwaajili ya friza na friji za aina zote.
Friji za kawaida kwaajili ya nyumbani✅
Fridge za biashara (showcase fridge)✅
Freezer za kawaida✅
Freezer za kioo (show case freezer)✅
Tupo kariakoo mtaa wa Ndanda 📍
Whatsapp au kawaida...
Meatu:Wakazi wa vijiji sita katika wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameanza kunufaika na huduma ya uhakika ya maji baada ya miradi ya maji iliyokuwa ikitumia nishati ya mafuta kubadilishwa na sasa kutumia nishati ya umeme.
Mabadiliko hayo yameelezwa leo Aprili 16,2025 na Meneja wa Wakala wa Maji...
Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi
Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake
Comparison:-
✓Dekoda pekee
Azam malawi Tsh 60,000
Azam Tv Tsh 55,000
✓Ofa
Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote
Azam tz inakuaja...
Wakuu kwema!
Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano
Mchele
Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100
Rejareja 2700 tsh
Maharage
Jumla 3000tsh kuazia kilo 100
Rejareja ni 3400 tsh
Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane
Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa)
Nakuletea popote...
Katika lawama za wachina kuwepo nchini, reference ya watu wengi ni vitu kuwa bei nafuu. Kwa miaka kadhaa watu wamelalama vitu kuwa bei juu inakuwaje sasa watu wanaanza kulaumu vitu kuwa bei nafuu?
Je, wanaolalama vitu bei nafuu ni kwa manufaa ya nani?
Suala la soko la ndani hoja nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.