nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye company ya microfinance

    Habar wanahitajika vijana 2 wa kufanya kazi katika company ya kukopesha hela wa kike 1 na wa kiume 1, umri wasizidi miaka 24 Kituo cha kazi ni Zanzibar (Pemba) Mshahara ni 170k kwe mwez na posho ya 5k kila siku. Sehem ya malazi kw watumishi ipo. Kwa mawasilano zaid njoo Dm
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi na Mungu wa Mbinguni upendekeze mtu wa kunyakuliwa MAWINGUNI utampendekeza nani?

    Ni swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!! 1.
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Mwalimu wa Physics

    Anahitajika Mwalimu wa Physics Tunatafuta mwalimu wa Physics Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365 Asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Polepole yajazwa, Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule apangiwa kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mabalozi waliopangiwa vituo ni kama ifuatavyo:- (i) Balozi Togolani Edriss Mavura...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ghuba ya Oman yawaka: Jamaran yazama, Iran yakosa nafasi ya kupumua

    MELI VITA MHARIBIFU YA IRAN YAPIGWA NA KUZAMISHWA!! Kuna taarifa zinazoenea kwa kasi zikisema corvette ya Iran ya daraja la Jamaran imepigwa na kuzamishwa katika kile kinachoitwa operation “Epic Fury.” Vyanzo vya mtandaoni na war trackers vinadai meli hiyo imeathirika vibaya na kwa sasa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

    Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza Mawailiano , Whatsapp 0754200363
  8. JamiiForums Tanzania Wadaawa wa KIIRAQW wapata nafasi ya kusikilizwa kwa lugha yao, Baraza la Ardhi Dodoma latoa tumaini la haki sawa

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma. Hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    Naomba kushare nafasi ya kazi, kuna rafiki yangu anahitaji mtu wa kumsaidia kuuza duka la dawa morogoro mjini mwenye sifa. Mambo mengine wataongea nae waelewane.
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

    Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Raha, Utukufu, kuogopwa na kunyenyekewa hadi Mbuzi wa Kafara

    Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu kuwajibika maana kuna uwajibikaji hauna impact hivyo anatafutwa mtu mmoja mwenye uzito wa kubeba...
  13. JamiiForums Tanzania Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  14. JamiiForums Tanzania Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Zitto Kabwe alivyowahi kuisaliti CHADEMA na watanzania kwa ujumla hakupaswa kupewa nafasi kuongea msibani.

    Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi. Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM. Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
  16. JamiiForums Tanzania Walioko ofisini nafasi za juu lakini hawafai kuwepo walitakiwa kushtakiwa

    Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani yule ndio angekua wa kwanza kuacha kazi na kushtakiwa. Halafu Polisi waliosema kua ni AI sasa hivi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama ahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa katika mchakato wa kura za maoni jimbo la Peramiho

    Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati wa mchakato wa kura za maoni, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemuita na...
  18. JamiiForums Tanzania Responded DC Mtatiro: Veta Shinyanga ina nafasi 179 za bweni lakini Wanafunzi wapo 229, nimeelekeza darasa moja liwe bweni

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI UTANGULIZI Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo. Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
  19. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujiunga kujitolea

    Wakuu, Tukajitolee kujenga taifa jamani:Alien::Alien::Alien: ---------- Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewahimiza vijana wa Kitanzania wenye sifa kujitokeza kujiunga na nafasi za kundi la kujitolea. Mpango huu unalenga kuwajengea vijana uzalendo, umoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…