nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TRA Dodoma, fuatilieni matumizi ya mashine za EFD

    Habari za Jumapili! Leo napenda kuwahusia TRA Dodoma na Tanzania nzima kwa ujumla! Naomba msikae ofisini, chukueni mda wenu kutembelea maeneo ya biashara iwe Kwa kusema au kwa kutosema, ili muone na kufanya ufuatiliaji juu ya matumizi ya mashine za Efd. Nimekuwa Dodoma tena kwa wiki nzima na...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya Michezo isiweke idadi ya wanasoka wa kigeni? Maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakosa nafasi

    Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa sana sio Kwetu bali duniani kote. Sasa timu zetu kubwa ni mbili tu yaani Yanga na Simba. Hakuna nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Mbeya inashika nafasi ya pili kwa vyuo vingi?

    CHUO - SEHEMU MUST - Iyunga MCHAS (tawi la udsm) - Mjini TIA - Airport ya zamani MZUMBE - Foresti SAUT - Foresti UTUMISHI (tpsc) - soko matola ADEM - Foresti UCC (tawi la udsm) - uzunguni CBE – Mjini TEKU - Block T OPEN UNIVERSITY - Foresti TUMAINI - uyole KILIMO - Uyole USTAWI WA JAMII - Uyole...
  5. JamiiForums Tanzania Mh. Rais umekuja umetuona sisi vijana na tumepata nafasi ya kukusikia. Likumbuke hili jambo Ukiwa mezani pako Tafadhali

    Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana. Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi ulimpa zawadi ya gari) ukaonana na wanawake, umeonana na vijana nadhani bado kuonana na wanaume...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vijana tunapopewa nafasi tuzitumie kutengeneza fursa nyingi kwa wengi zaidi. Hili la Sabaya ni kosa, tusahihishe

    Wasalaam, Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu na pengine siku moja vijana ndio washike hatamu ya uongozi wa Taifa hili. Kinachoendelea sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kuteuliwa zinaondoa ufahamu na akili

    Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao. Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru kwenye kazi zao. Mfano Rais anakuja kuzindua mradi uliobuniwa na kujengwa na mtangulizi wake...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

    Kama kichwa kinavyo jieleza Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo. Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha. Ahsanteni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ningemwambia haya Rais Samia endapo ningepata nafasi ya kukutana naye

    Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo yangu kuwa sekta ya kilimo itazamwe upya kwa jicho la tatu kama mkombozi wa changamoto hiyo! Kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…