nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  2. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI

    Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
  3. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

    Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Ikatokea ukapewa nafasi ya kukutana na rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
  8. JamiiForums Tanzania Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  9. JamiiForums Tanzania Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

    Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa Sifa za Muombaji MWENYEKITI WA BODI KECO GROUP LTD S.L.P 34332, DAR ES SALAAM, TANZANIA. Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Ualimu Journalism & International relations TAEATI

    Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz wanatabia chafu sana kama hiyo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli. Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili. kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya house girl

    NAFASI YA KAZI YA HOUSEGIRL Anahitajika mfanyakazi wa ndani (mwanamke) House Girl mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Mtu mzima wa umri miaka kuanzia 30 mpaka 36 2) Awe na ujuzi wa kazi zote za ndani ikiwa ni pamoja na usafi na kupika 3) Ajue kuongea English na uzoefu wa kufanya kazi na wageni (...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi 700 za kazi kutoka Jeshi la Magereza 2021

    Jeshi la magereza Tanzania limetangaza nafasi za kazi 700 kwa watanzania mbalimbali wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne mpaka degree mwisho wa kutuma maombi ni October 10 2021 Kwa maelezo zaidi download pdf file iko hapao chini
  18. JamiiForums Tanzania Una uzoefu na uoshaji wa magari? Nafasi ya kazi hii hapa

  19. Z

    JamiiForums Tanzania Nimekosa nafasi ya kujiunga na chuo cha wanyamapori Pasiansi

    Daah wakuu inaniuma sana kukosa nafasi kwenye hiki chuo cha wanyamapori Pasiansi. Ni chuo nilichokuwa napenda kwenda kusoma ila ndio basi tena nmekosa nafasi ya kuchaguliwa na sijui nifanyeje. Kwa wazoefu wa hiki chuo je kuna uwezekano wowote kukawepo na awamu ya pili ya majina? Maana kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ina nafasi kubwa kwa Mwanamke kipindi cha hedhi

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI. Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…