nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi. Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo. Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
  2. A

    JamiiForums Tanzania UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators —- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters ——————- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC ———— 01 Positions 7) Wheel Loaders ————— 04 Positions Interested candidates...
  4. JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu kwa miaka 3 Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa nafasi hiyo?

    Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa. Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kuweza au mwenye uwezo kusimamia Tume ya madini ? In aibu kubwa sana, hata Prof...
  5. JamiiForums Tanzania TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

    Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo. Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama...
  6. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Vipi zile nafasi za Internship TBS walishaita watu?

    Habari, Ilikuwa 21 April TBS walitoa tangazo la internship kwa nafasi mbalimbali. Vipi walishaita vijana kwa ajili ya usaili na kuanza kazi? Nimeingia kwenye website yao sijaona tangazo lolote, ni bado mchakato au watu wamepigiwa simu direct?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, pendekezo la kushushwa mshahara kwa waliotenguliwa nafasi litawahusu pia waliotenguliwa huko nyuma?

    Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali, basi na mshahara utenguliwe ili apate unaolingana na nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  10. JamiiForums Tanzania GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ni mzuri sana, bado tuna nafasi ya kushinda mechi zijazo

    Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika. Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi 100 ya kazi za Afisa Mauzo katika kampuni ya Sanlam Life Insurance LTD

  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

    Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
  14. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia 2025 ana nafasi kubwa ya kushinda

    2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii. Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Haki✅ Usawa✅ Mishahara✅ Posho✅ Anayebisha aje na facts.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumuombea huyu ndugu yangu nafasi ya kuwa kocha wa Simba?

    Wanajukwaa kuna ndugu yangu huku kijijini ni shabiki mkubwa wa club ya Simba sports club toka miaka ya 1990's kwa sasa anajihusisha na kukochi team ya kijiji na kaifikisha mbali sana Sasa baada ya kuona nafasi ya kocha mkuu wa team ya Simba ikiwa wazi amekuwa akinisumbua mara kwa mara kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yaambulia nafasi ya 5 EAAR, Dar

    Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi ya Tano, na Kufanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwenye mashindano hayo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…