nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Ipi nafasi ya vijana katika Siasa na Uongozi

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka ishirini na moja, huku haki ya kikatiba ikimtaka kijana mwenye umri wa miaka 18-19 na 20 kupiga...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Pharma Dispenser

    Anatafutwa Pharma Dispenser mwenye usajiri wa pharmacy council, kuuza pharmacy uliyopo Dar es Salaam kiwalani. 0627345658
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  4. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi kada ya afya

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki imepata kibali cha ajira 6 za Watumishi wa Kada za afya kwa ajili ya Hospitali na vituo vya afya. Sifa za waombaji ni kama ifuatavyo; DAKTARI DARAJA LA II (NAFASI 1) Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ni lini nafasi za kujiunga JWTZ zinaweza kutolewa?

    Habari wanajamii forums. Nauliza ni lini nafasi za kujiunga na jwtz zinaweza kutolewa? Natanguliza shukran zangu
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge atakayethubutu kuukosoa utawala wa Rais Samia, kwa sababu kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake

    Huo ndiwo ukweli. Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo. Kama yupo awaye na matarajio hayo ni bora ayafute. Ifahamike wabunge wote waliopo mle bungeni kwa sasa ni zao na bila kupepesa...
  7. JamiiForums Tanzania Tozo zimechukua nafasi ya upinzani

    𝕋𝕆℀𝕆 ℕ𝔻𝕀𝕆 ℕ𝕁𝕀𝔸 ℙ𝔼𝕂𝔼𝔼 𝕐𝔸 π•‚π•Œβ„€π•€π”Ήπ”Έ 𝔾𝔸ℙ𝔼 𝕃𝔸 π•‹π”Έπ•Šπ•‚ 𝔽𝕆ℝℂ𝔼 ℀𝔸 𝕁ℙ𝕄? π™½πšŠ πšƒπš‘πšŠπšπšŽπš’ π™Ύπš•πšŽ π™Όπšžπšœπš‘πš’. Ukiniambia niishauri Serikali yangu kuhusu Tozo nitawashauri kwa haraka kama ifuatavyo. Rais Samia Sio muumini wa task Force kama zile za Magufuli za kupambana na matajiri pamoja na wafamya Biashara kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  9. JamiiForums Tanzania Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Young African sports club

    Sharti la msingi, lazima uwe mwanachama hai wa Yanga.
  11. JamiiForums Tanzania Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
  13. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

    Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia Wakenya sio waumini sana wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

    Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili. Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  16. JamiiForums Tanzania ICS watangaza nafasi za kazi mbalimbali

    We are looking for competent, skilled, and experienced talent to work on the EACOP (East African Crude Oil Pipeline) construction project in Uganda. Suitable candidates are encouraged to apply for the following positions;
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi ya Kiswahili

    Kiswahili ni nini? Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika. Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo wake. Lugha hii ina nafasi nyingi kitaifa, kikanda na kiulimwengu. Katika makala haya tutaangazia...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  19. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mliokosa nafasi zoezi la Sensa 2022 msipotoshe. Tuliopata nafasi tuna sifa na vigezo. Hata kuwa na connection ni akili

    Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo. Kwa miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…