nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Source; FIFA Rankings
  2. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchekeshaji Stanbakora agombea nafasi ya udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro

    Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇 “Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA NDEGE Nipo Tayar Kuwatumikia”
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya nafasi ya ubunge inazidi kushuka

    Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana. KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu kifedha ama kisanii lakini pia familia maarufu kuchukua form za ubunge. Ni sahihi kwa sababu wana haki...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za ulinzi

    Nafasi za kazi za ulinzi tuma cv yako kwenye imail zilizotajwa, cc info@synergysecurity.tz
  7. JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mangungu uwa anajua kuwakomesha wanachama wa Simba,,anahitaji hoja zilizoshiba za kumuondoa kwenye nafasi yake

    Anawaambia watoe hoja zenye mashiko zitazomfanya afikirie kujiuzulu👇
  9. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI - MARKETING ( MOROGORO & DODOMA )

    FREELANCERS Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma. Umri miaka 20 - 30. Elimu kidato cha nne - kuendelea. Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu ) Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions. Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi

    🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI 📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi yaliyopatikana kutoka kwenye audio kwa usahihi na ufasaha. 🔊 Kazi: Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi 💻...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
  12. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa vita swali : Wakudri na Vita ya Iran vs Israel/Marekani — Je, Wana Nafasi?

    Wakudri ni Nani na Wapo Wapi? Wakudri ni kundi la kikabila linalokadiriwa kuwa na watu milioni 30–40, wanaoishi hasa katika maeneo ya: Kaskazini mwa Iraq (Kurdistan ya Iraq), Kaskazini-magharibi mwa Iran,Mashariki mwa Uturuki na Kaskazini mwa Syria. WAKUDRI (Kurds), ambao kwa miongo mingi...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wana "overplay" nafasi zao katika maisha ya mwanamke

    Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
  14. JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia marubani wa kike kuishambulia Iran, wanawake wakipewa nafasi nao wanaweza !

    Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel. Round hii wameenda wengi zaidi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi 2 watu 7500, kuna haja ya kujisumbua kwenda kufanya interview au niendelee kumbonji tu?

    Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500. Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli? Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…