nafasi za kazi

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania MFS Product Development Specialist at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: MFS Product Development Specialist How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Cyber Security Manager at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Cyber Security Manager How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in PDF format...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Innovation Officer at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Innovation Officer How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Innovation Officer). Attach your CV in PDF format. Deadline...
  4. steveson manumbu

    JamiiForums Tanzania Nafasi tatu za kazi ya ualimu wa kufundisha ubunifu na ushonaji Sinza Mapambano

    VKVT COLLEGE NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM SIFA ZA MUOMBAJI: . Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji kutoka VETA kwa level ya NIT . Awe mbunifu katika ufundishaji . Awe na uzoefu si chini ya miezi sita ...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kilimo ya Agro - Meru imetangaza nafasi za kazi

    M/S Meru Agro-Tours & Consultants Co. Ltd (MATCC) is a local private company based in Arusha that specialized in Agricultural inputs business. The company deals with multiplication and distribution of agro seeds; importation and distribution of agrochemicals and provision of technical advisory...
  6. Born_T0WN

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Vijana hizi hapa nafasi za kazi.
  8. stineriga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tunasaidia kuandika CV, kuandika email pamoja na kuomba nafasi za kazi

    Habarini wakuu, Kumekuwa na Changamoto ya Graduates kuomba kazi lakini hawaitwi kwenye udahili kutokana na CV pamoja na Coverletter kukosa ushawishi kutoka kwa Mwajili. Pia inawezekana Muda wa kuomba kazi huna, hujui uombe wapi? Pengine huwezi kuandika Email yenye ushawishi kwa Mwajili hili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi migodini pdf

    nafasi za kazi pdf nmewatumieni
  13. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ualimu primary school - Taifa international school

    TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED Job Summary We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam Recommended: Minimum Qualification: Certificates Experience Length: No Experience/Less than 1 year Job Overview A full-time permanent Teacher...
  14. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Wauzaji Bora Wanahitajika Haraka, Malipo Laki 3 Mpaka Milioni 3

    Usiombe nafasi hii kama kweli wewe siyo bora na unaweza kuthibitisha hilo. Utaingiza kipato cha laki 3 kwa mwezi kama utafanya kazi kawaida, milioni moja kama utajituma na mpaka milioni tatu kama kweli ni bora na utajitoa kweli kweli. Hizi ni kazi za mauzo ya bidhaa na huduma ambapo unaajiriwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 2, declaration clerk na operation officer

    Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye system awe anajua kufanya transit, local, container na loose cargo. 0764423726
  18. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters ni gharama? Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji? Au hawawapati watu wale...
  20. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Hello habari za majukumu! Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta mshahara wote unaishia kwenye pango la nyumba, nauli ya kwenda na kurudi kazini. Maana shule haikuwa...
Back
Top Bottom