Habari za humu wakuu,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?
Je, matokeo ni mabaya sana?
Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie
Hii ni especially kwa kozi ya...