nacte

  1. Sitaki kuamini

    Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

    Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26. Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe. Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu Nawashitaki Is there any lawyer for hire out there?
  2. gimmy's

    Msaada: Nimeomba 'Control Number' NACTE ya kulipia 10,000 badala ya 30,000. Sifahamu namna ya ku-cancel nianze upya

    Salaam, Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha. Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu. Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
  3. R

    Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

    Mwenye kujua vyuo vya NACTE vitamaliza muhula wa pili mwezi gani ie semester 2 inafungwa lini? Zamani kulikuwa na ratiba ya masomo, sasa ni vurugu tupu!
  4. Ndenzaamo

    Msaada kuhusu kubadili vyeti NACTE

    Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja. Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
  5. Ndenzaamo

    Msaada kuhusu NACTE

    Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA. Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja. Je, watu hawa...
  6. R

    Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  7. Sanamu ya shekilango

    NACTE toeni Transcript za Clinical officer waliomaliza Desember 2022

    Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED NACTE fanyieni Kazi maombi yetu tunahitaji hizo transcript kunafursa tunatak kuzikimbilia ambazo zinahitaji kuambatanisha...
  8. R

    Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

    Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo? Tujuzane!
  9. kilamba lamba

    Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  10. R

    Website ya NACTEVET (zamani NACTE) haifanyi kazi

    Tunajaribu kupata information toka NACTEVET with regard to the coming academic year, website haifunguki/haipo. Tusaidieni wahusika kuna nini? Tunataka kujua matokeo ya mitihani ili wazazi tujiandae na ada etc etc etc. We are in darkness.
  11. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi kusoma na labda kutambulika kwake kwa Tanzania na TCU ,Naamini tutafaidika sote kwa mawazo yenu...
  12. F

    Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

    Habari zenu wapendwa! Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment. Natanguliza shukrani
  13. K

    Naomba msaada nataka ku-apply tena kupitia CAS NACTE

    Habarini wana jamvi, Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma siletewi option ya kufanya application naambiwa nimechaguliwa ilihalii nahitaji kufanya application tena...
  14. R

    Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

    Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
  15. R

    Vyuo vya NACTE(now called NACTVET-) vinahitaji reform kubwa

    1. Havijulikani vinatumia mitaala ipi 2. Havina likizo kwa watoto for the whole year 3. Mitihani anatunga nani na inakuwa moderated vipi. 4. Walimu wana sifa kweli za kufundisha? haijulikani wanatokana na nini na qualification zao ni zipi. 5. Vya kilimo/mifugo ndiyo usiseme. MATI Mtwara ni...
  16. hitler2006

    Mnachokifanya NACTE ni wizi

    Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndiyo kizungumkuti kinapoanza. Kulog in issue, ukiwapogia wanajibu watakavyo hebu tunaomba waheshimu pesa za watu. Hii no moja Kati ya taasisi za hovyo kabisa,HAINA SIFA YA KUWA...
  17. profesawaaganojipya

    Tovuti ya Nacte haipatikani leo asubuhi 19/7/22

    Kila nikifungua website ya Nacte leo asubuhi haifunguki,au tatizo ni simu yangu tu, zingine hamna shida, wenzangu vipi na nyie mnaipata?
  18. S

    Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  19. F

    Mweka Training Centre kimesajiliwa na NACTE?

    Wakuu, naomba kufahamu chuo kimoja kinaitwa Mweka training centre kipo Kimara, Dar na kinatoa kozi za afya. Je, kimesajiriwa na nacte? Na kama kimesajiliwa kwanini wahitimu wake hawakukiona kwenye orodha ya vyuo wakati wa kufanya application za ajira? Sent from my SM-A260F using JamiiForums...
  20. Kididimo

    NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
Back
Top Bottom