mzunguko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aBuwash

    Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  2. Victor Mlaki

    Tarehe 9/9/2025,: siku inayotawaliwa na namba 9, namba ya ukamilisho wa mzunguko wa maisha

    Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9). Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na...
  3. Yoda

    Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  4. Sister Abigail

    Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia? Ama wao ni regular tu? Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa...
  5. Camilo Cienfuegos

    Huu mzunguko ni kama unajirudia hivi

    1. Kinana anajiuzulu 2. N & J wanatumbuliwa 3. Watu wanaanza kutoweka 4. Lissu anashambuliwa 5. Kigogo anasumbua twitter 6. Uchaguzi unakaribia 7. No Twitter without VPN 8. Uchaguzi unaporwa 9. Mshindi feki anarudi vumbini The circle repeats itself…
  6. Mshana Jr

    Kama unatoka katika familia ya walevi, usimamishe wewe huo mzunguko usiendelee kwenye kizazi kijacho

    Kama unatoka katika familia ya walevi, usimamishe wewe huo mzunguko. Usiache ulevi uendelee kwenye kizazi chako kijacho. Kama unatoka katika familia ya watu ambao hawamalizi masomo, hakuna anayehitimu shule ama chuo kikuu; katisha huo mzunguko na ujiendeleze hadi hatua za juu kabisa, thibitisha...
  7. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Pendezesha nyumba yako kwa ngazi mzunguko kama hii, kwa gharama nafuu kabisa.

    FAIDA ZAKE Inachukua eneo dogo Inamvuto. 0756244608
  8. Richard

    Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
  9. Rorscharch

    Ustawi wa Mataifa Hufuata Mzunguko Fulani wa Maisha (kupanda mpaka kuporomoka): Watanzania tupo wapi?

    Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake maarufu, The Fate of Empires and the Search for Survival (1978), Glubb alieleza kuwa mataifa yote makubwa...
  10. Loading failed

    Baada ya kutumia P-2 sasa anashindwa kubeba ujauzito, je afanye nini aweze kukaa sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
  11. Waufukweni

    Hizi ndizo noti zitakazoondolewa kwenye mzunguko kuanzia Januari 06 hadi Aprili 05 mwaka huu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025. Zoezi...
  12. Wazolee

    BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  13. C

    KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  14. ngebo

    Serikali iingilie kati au kuja na mbinu kuzuia kuvuja kwa pesa kwenye mzunguko wa uchumi

    Angalizo ; huu uzi hauna maana mbaya wala kupangia watu namna ya kutumia pesa zao..!!! Tanzania tumeingia kipindi ambacho tunaona magari mengi sana ya kifahari, ukiwa barabarani sasa hivi kupishana na gari za 500M or less ni kitu cha kawaida, waTanzania wengi sasa wakipata pesa tumeingia na...
  15. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  16. gstar

    Fedha zilizo expire kurudishwa kwenye mzunguko, kuna harufu ya ufisadi.

    Tunapo karibia uchaguzi mkuu pesa itatafutwa kwa njia yoyote ile ikiwemo ya halali na ya haramu. Hatuwezi kupuuzia jambo dogo kama hili la kubadilisha fedha ambazo kimsingi zilisha pita muda wake wa matumizi, ni fedha zilizo kwisha ku-expire. Nadhani ni fedha ambazo hazipaswi kurudishwa tena...
  17. Y

    Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  19. ofisa

    Morogoro tunakwama wapikujenga barabara ya mzunguko?

    Nimehamia Morogoro huu mwaka wa saba,ambacho sikielewi ni manispaa kushindwa kujenga njia ya mzunguko itakayo unganisha Kihonda,Tungi, Kingolwira, Msongeni, Bigwa. Sanga sanga, Mazimbu, Kihonda. Faida; 1.Njia hii itapunguza foleni ya gari zote kuingia msamvu. 2.Itafungua kata ya...
  20. H

    Ushauri: Noti za tsh 1000 na 2000 zibadlishwe material ya utengenezaji huwa zinachoka sana katika mzunguko

    Salama humu. Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000. Unajua hela ya noti kwa nchi ni kama nembo ya Taifa. Zinawakilisha nchi na wageni mbalimbali wanazitumia...
Back
Top Bottom