Huu mzunguko ni kama unajirudia hivi

Huu mzunguko ni kama unajirudia hivi

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,334
Reaction score
68,404
1. Kinana anajiuzulu
2. N & J wanatumbuliwa
3. Watu wanaanza kutoweka
4. Lissu anashambuliwa
5. Kigogo anasumbua twitter
6. Uchaguzi unakaribia
7. No Twitter without VPN
8. Uchaguzi unaporwa
9. Mshindi feki anarudi vumbini

The circle repeats itself…
 
Kuna hisia zinaniambia kabla ya 2030 panapo majaaliwa tutakuwa na Rais mwingine. Sijui itakuwaje lakini kuna kalaana kakutokumaliza awamu. Itachukuwa muda sana Tanzania kujakupata mtu wa kuwa Rais kwa miaka 10 mfululizo.
 
Ni vile wachawi wamekosa uzalendo, wangeifanya hii kazi online tumalizane na shetani
 
1. Kinana anajiuzulu
2. N & J wanatumbuliwa
3. Watu wanaanza kutoweka
4. Lissu anashambuliwa
5. Kigogo anasumbua twitter
6. Uchaguzi unakaribia
7. No Twitter without VPN
8. Uchaguzi unaporwa
9. Mshindi feki anarudi vumbini

The circle repeats itself…
Corona imerudi😂😂

Mzunguko unajirudia tena kwa kasi kubwa sana…

Kuna mtu anawindwa, over!!
 
Kuna hisia zinaniambia kabla ya 2030 panapo majaaliwa tutakuwa na Rais mwingine. Sijui itakuwaje lakini kuna kalaana kakutokumaliza awamu. Itachukuwa muda sana Tanzania kujakupata mtu wa kuwa Rais kwa miaka 10 mfululizo.
Duh!..
 
1. Kinana anajiuzulu
2. N & J wanatumbuliwa
3. Watu wanaanza kutoweka
4. Lissu anashambuliwa
5. Kigogo anasumbua twitter
6. Uchaguzi unakaribia
7. No Twitter without VPN
8. Uchaguzi unaporwa
9. Mshindi feki anarudi vumbini

The circle repeats itself…
Kudadadeki....kwa jinsi ajuza alivyokondeana .....hii post nahifadhi
 
Back
Top Bottom