mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi mzima nimeamua kula Kiazi utamu, Muhogo na Kiazi mbatata kwasababu vyakula vya mafuta na nyama mtaani sina imani navyo, nipo sahihi?

    Nipo kikazi mkoa flani pande bush ndani ndani, na kwakweli nilichoona huku mitaani chakula sina imani nacho, Nimezoea kula chakula safi kilichopikwa nyumbani na hata mchana huwa nalia nyumbani ama naletewa chakula kilichopikwa nyumbani, mara kadhaa tunaenda hotelini ama restaurants nzuri na...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  3. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Mwaka 2014 TEC na Jukwaa la Kikristo Tanzania liloagiza kusitishwa Bunge la Katiba baada ya ccm kupora mchakato mzima.

    Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii collabo kati ya mtu mzima Jigga (Jay-Z) na Slim Shady (Eminem) Renegade nani aliua (verses kali)?

    Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina. Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
  5. JamiiForums Tanzania Timu ya Algeria yaweka rekodi ya dunia kwa kuvuna alama 4 tu msimu mzima

    Klabu ya Algeria HB Chelghoum Laïd 🇩🇿 imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata ushindi hata mmoja. Takwimu za timu hiyo: Mechi 30 Ushindi 00 Sare 04 Kupoteza 26 Pointi 04
  6. JamiiForums Tanzania Ukiwa mtu mzima alafu ni ziro ni hasara

    Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa miaka 53-56 aliyejitunza kiafya

    Wee mwanaume. Kama:- 1. Una umri kati ya 53 - 56 2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu. 3. Umejitunza kiafya 4. Watoto wako wamejitegemea. 5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato. 6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepoteza muelekeo, binti aliyepotea anasakwa na vyombo vya usalama vya nchi mzima huku Dp world wakipigiwa debe kwa nguvu

    Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti. Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimulia Mchakato Mzima wa Kuhamia Dodoma, Amtaja Kaka wa Nyerere, Mchango wa TANU

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza mchakato mzima wa kuhamishia makao makuu ya nchi kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na mchakato wa ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma wakati wa uzinduzi wa Ikulu hiyo mkoani Dodoma leo. Rais Samia ameeleza namna mchakato mzima ulivyokuwa wa kidemokrasia...
  11. JamiiForums Tanzania Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari. Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima? Tupeane mbinu hizo wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

    Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo. Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

    Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
  16. JamiiForums Tanzania Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

    Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari. Iko hivi last month jumatatu tarehe 20 nilipata ajali maeneo ya Ngunja Mkuranga nikiwa na pikipiki...
  18. JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…