mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

    Habari za wakati huu wakubwa. Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah. Jinsi nilivyokutana naye Mimi ni Fundi Rangi, gypsum board na skiming. Kama mnavyojua hizi kazi zetu siyo za kila...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

    Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu aliyekamatwa akiwa mzima afie katika kituo cha Polisi?

    Tujadili kidogo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumpeleka Malisa Kilimanjaro zingetosha kuzikisha familia 5 zikizoathirika Kwa Mvua Kwa mwezi Mzima

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii. Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  10. JamiiForums Tanzania Mtanange huu nani atatoka mzima?

    Endapo kama hawa wanyama wote watafungiwa kwenye Cage moja, je nani atatoka mzima?
  11. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha umeme Mkuranga kiangaliwe, eneo la Kinene hatuna umeme mwezi mzima

    Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani, wiraya ya Mkuranga kata Mwarusembe mtaa wa Kinene.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili. Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  14. JamiiForums Tanzania AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  16. JamiiForums Tanzania Nawashwa mwilini mzima

    Jamani natatizo la kuwashwa zaid miez 10 nmetumia dawa za allergy cream za fungus lakini sponi
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Chile: Mji mzima wateketea Kwa Moto, tusipuuze Manabii

    Salaam,Shalom, Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu kabisa,Chanzo Cha moto huo hakijafahamika Hadi sasa,ingawa mamlaka zinasema chanzo, yaweza kuwa ni ARSON...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na awe HIV negative Awe mkarimu Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake Awe muunimi wa kikristo...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli. Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…