Kila sehemu lazima utasikia watu wakiimba kwanza kabla kufanya mambo mengine.
Uwezi kwenda kuomba mizimu,umefiwa,mateso,furahaa,hisia,uzuni, na n.k bila kuimba.
mziki ni kujiponesha we mwenyewe au kuponyesha watu na walicho umizwa au kuumwa.
Ndio maana mziki unaweza kwenda sehemu yoyote...