Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge
size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha kijani,hicho kidonge nilivyokiona nikasahau hata nilichokuwa natafuta maana ukubwa ndio ulinitatanisha...