mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

    Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
  2. Asilimia kubwa ya shule za Tanzania, serikali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana, matokeo yake mzigo huo wamebebeshwa wazazi

    Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie. Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya...
  3. Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Naomba msaada...
  4. Farhan: Kila timu ibebe mzigo wake mwenyewe

    "Kitu kimoja kuhusu mpira wa miguu hakuna kinachodondoka kutoka angani, wakati wanaanza project yao wengi hawakuamini watafika popote, ila Wahuni walifahamu wanachokiandaa kifupi The Premier League and Africa wasnt ready for this show. Zilianza kelele za Bahasha zikapita na kuondoka, zikaja...
  5. U

    Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  6. Wafanyabiashara wa Tanzania msipoteze uaminifu kwa manufacturers wa nje waliowaamini kwa kutolipia mizigo mliyopewa kwa mali kauli. peni pesa za watu

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
  7. U

    Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  8. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  9. Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  10. Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo na Kagera Sukari

    Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH. Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho...
  11. U

    Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
  12. Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  13. Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  14. Gaza ni mzigo uliojitwisha Israel na haiwezi kuutua, kilichobaki ni kuhangaika nao

    Ipo mikasa mingi ya wezi ambao baada ya kuiba hujikuta wametegeshewa na hawawezi kuutua tena mzigo wao mpaka makubaliano na mwenye mali yafanyike. Iko mikasa mingine ya wazinifu na wachawi inayofanana na mikasa ya wizi. Gaza ni mfano wa mzigo Israel iliyojitwisha ikitaraji kuufikisha ilipotaka...
  15. Mademu wa kishua ni mzigo

    Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena. Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana. Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake. Kiporo hawezi kula, na...
  16. Mzigo wa vita waielemea Israel na huku wakisindikizwa na mawe wakati wakirejea nyuma.

    Hali ya vita inazidi kuwa mbaya kwa Israel kiasi kwamba wamelazimika kuondoa vikosi vyake kadhaa kutoka uwanja wa vita. Sababu kuu inayotajwa ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hiyo kiasi kwamba hakuna tena mafungu ya kuwahudumia askari walio mstari wa mbele.Sababu nyengine isiyowekwa wazi na nchi...
  17. R

    RC Chalamila amechoka kukaa DSM, changamoto zimezidi anatamani kutua mzigo. Kila la kheri kwenye majukumu mapya

    Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto. Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM warejee kijijini. Anatamka maneno hayo kipindi ambacho wanaomiliki mwendokasi wamedharau na kuendelea...
  18. A

    Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  19. N

    Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  20. Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…