Mzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa.
Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na maarufu kwa kuuza bidhaa chakavu alitinga bongo na ethiopia airlines ambapo alisafiri pekee yake kwenye...