KUNA MAMBO YAKIPOTEA HAYAWEZI KUREJESHWA.
“KWANINI SAFARI HII HALIPO TENA GOLI LA MAMA WALA SIMU YAKE?”
Naanza na kuwauliza washabiki wa Simba na Yanga, imekuwaje safari hii kusiweko tena simu itokayo kwa MAMA, inayowatia moyo wachezaji na washabiki na viongozi, ikionyesha kwamba kuna...