An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Ni kitabu cha miaka ya 80s kikiwa katika mtindo wa picha za kuchora yaani katuni.
Aliyebahatika kuwa nacho hata sasa nakihitaji kwa ajili ya kujikumbusha mambo fulani ili kuepukana na matapeli ambao bado wapo hata sasa.
Ramadhan Kareem!
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)
Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na...
Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...
Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,
Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati.
Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine.
Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa.
Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
Alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10. Hivi ni kweli alikuwa amesahau Chato au ulikuwa ni usanii tu ili kupaondolea hadhi pale? Mkiniambaia leo labda ameshaanza hata kuwasahau wanae basi ninaweza nikaamini kuwa aliposahau pale!
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua waliofikia, ila niwaonye wapunguze majigambo na kujimwambafai kama ilivyokuwa kwa Mzee Baba na...
Mwenye wasifu pls atuwekee hapa.
Huyu Mzee ana jambo gani ambalo limemfanya adumu katika vipindi vyote vya uongozi wa nchi hii? Amekuwa zaidi ya Wassira!
Hebu mnaomfahamu mtujuze kuna nini kwa huyu Mzee wetu?
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya...
Wakuu natumai mmeshinda salama, najuwa wengi mko busy na mchakato mzima wa VP na mstakabali wa Taifa letu. Ila ni pendekezo tu kwanini vyombo vya habari kama TBC kwa kipindi hichi cha Maombolezo wasimkaribishe Mzee Mwinyi atuambie mawili matatu wampe hata masaa 3 na amini ana mengi ya kutuambia...
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo hapa. Kwanza kbs napenda kutoa pole kwa Raisi wetu mama Samia Suluhu Hassani, kwa familia ya mama yetu mama Janet Magufuli na kwa watanzania wenzang kwa kuondokewa na aliekuwa raisi wetu marehem John Pombe Magufuli.
Niingie sasa kwenye mada husika...
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi...
Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli.
Alimpa Rais Magufuli Jogoo baada ya kuelezea kadhia ya huduma hafifu za afya katika eneo lake la Somanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.