Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,784
Yaitwaje sheikh??Hiyo ni tamthiliya bwashee!
Sinema zetu bhana,Anayeigiza Polisi au Jambazi lazima Avae miwani😀😀
Sinema zetu bhana,Anayeigiza Polisi au Jambazi lazima Avae miwani😀😀
Sio video ya taarab kweli..??
Ustaadh una maneno mengi balaa!Eti itadamshii!😂😂😂😂Itadamshiiiii
Nimefundishwa JamiiForums, zamani nilikuwa bubu, JamiiForums ikaniponya ububuUstaadh una maneno mengi balaa!Eti itadamshii!😂😂😂😂
Eti nilikuwa najua Ni Mbwana SamattaMwenye shati jeupe anaonekana tu ni wale askari wa Bongo movie
Afadhali.Maana ungekuwa "bubu msema hovyo"!😂😂😂Nimefundishwa JamiiForums, zamani nilikuwa bubu, JamiiForums ikaniponya ububu
Otakuwa alikuwa anamuuliza mtuhumiwa kwa nini amenyoa mtindo wa "pancha"!😂😂polisi wa kulia ana sura mbaya
Aha hahah hahahhAfadhali.Maana ungekuwa "bubu msema hovyo"!😂😂😂