mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 2 tangu kutekwa na kuuawa Mzee Ali Kibao, mpaka leo hakuna taarifa ya nani alihusika!

    Leo, Septemba 6, 2026, inatimiza miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tukio hilo bado hayajawekwa wazi. Pumzika kwa amani, Ali Kibao, tutakukumbuka daima. ===== September 6, 2026, marks two years since his death, but to this day, the results of the...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

    Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa. Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake? Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Mtabiri

  4. JamiiForums Tanzania Full interview na msanii bab lee mzee wa kizizi

    Ukwaju wa kitambo hapa 0767 542 202 Akiwa na msanii bab lee full story fuatilia interview hii
  5. JamiiForums Tanzania Mh Dc Magoti sisi watu wa Makurunge tunateseka na usafiri hujawahi kushindwa ,tenda kama tunavyokuamini mzee wa showshow !

    Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu . Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  8. JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

    My Take Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzee Butiku alikuwa anamkubali Nchimbi?

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi Mzee Butiku amesema kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

    Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa. Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wanajua kuabisha wakuu! 🙌 Mzee mwenzenu nimekumbwa na dipresheni

    Wakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha. Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini baadaye hali ya hewa ilichafuka kidogo. Hali ulianza kubadilika pale watoto walipoanza kuonesha vipaji...
  14. JamiiForums Tanzania HOJA Mzee aliyedai kudhurumiwa na TANROADS asema "Maisha yangu yako hatarini, napata vitisho, nisaidieni"

    https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0 Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo mkoa wa Katavi amesema anaidai kiasi cha Tsh milioni mia nane na TANROADS na kwamba ameshazunguka...
  15. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
  16. JamiiForums Tanzania SGT Mwajabu Mzee alivyoibeba tuzo ya best lady against violence Tanzania

    SGT MWAJABU BEST LADY AGAINST VIOLENCE TANZANIA AKABIDHI TUZO KWA RPC KILIMANJARO Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Simon Maigwa amepokea tuzo mbili alizotunukiwa SGT Mwajabu Mzee wa Kitengo cha Dawati Jinsia na Watoto Mkoa wa Kilimanjaro...
  17. JamiiForums Tanzania Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

    Habari zenu wakuu.. Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Je Mzee Butiku anastahili heshima?

    Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA. Huyu mzee Butiku. Anastahili...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Philipo umezeeka mwili ila Kili bado za kijinga

    Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…