Jamani Mzee Warioba anaendeleaje?

Jamani Mzee Warioba anaendeleaje?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,435
Reaction score
102,931
Tangu alipo pata mfadhaiko hakuna feedback hali yake ikoje.

Aliye na ataarifa zake atujuze.

Tunamuombea uponyaji.
 
Anazidi kuumia tu moyoni sababu asiyempenda, yaani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anazidi kuwa fiti na nchi inakwenda katikati ya majungu na fitina zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom