mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

    Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba." Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!" Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
  2. RIWAYA: Mzee wa Busara

    RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika. MWANZO NILIHISI kupagawa. Akili yangu ilikuwa mbali sana usiku huo. Sjiui mtanielewa nikisema kwamba nilikuwa kwenye ndoto katika...
  3. Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

    Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
  4. Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
  5. Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  6. B

    Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  7. Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

  8. TANZIA Buriani Mzee Pius Gugadi, Msadifu wa Majengo NHC

    Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu. Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni msadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC MKE wa maremu...
  9. S

    Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

    Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo...
  10. Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  11. Picha: Tukimtoa mzee Mwinyi, hawa ndio wazee wetu tuliobaki nao sasa hivi

    Ningependa pia kujua mzee Kenyata anamshinda Kikwete miaka mingapi?
  12. Lissu akiwa kwenye jukwaa la mabanzi (Kichanja)

    Hapo sina mengi. Embu jaribuni kuangalia kwa makini picha hizo hapo chin. Wamemuwekea kichanja, badala ya jukwaa.
  13. TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  14. M

    Mwalimu wa Walimu Mzee Ernest Meza Kizo ameaga Dunia!

    Kwa wale wakongwe waliosomaChuo Cha Ualimu Mpwapwa, Bustani na Butimba miaka ya 1960 hadi 1990 mwanzoni bila shaka watamkubuka Mwalimu wao mahiri Mzee Kizo,(91)! Bila shaka PM Majaliwa yupo ktk kundi hili! Mzee wetu huyu alitefundisha maelfu ya walimu Tanzania ametangulia mbele ya Haki Jumapili...
  15. Mzee wa Jambia: Ukimtoa Mayele Yanga ubora unapungua kwa 50%

    Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50% Akaongeza zaidi, Mayele pekee yake kwa ubora wake anaibeba Yanga kwa asilimia 50%. Hivyo ili Yanga iwe vizuri inahitaji ubora wa...
  16. Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

    Inauma! Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi. Kwa mzee Samwel Malecela imekuwa kinyume. Kwa kushuhudia msiba wa mtoto wake wa nne, imesikitisha sana. Nimehudhuria shughuli za kumuaga Le Mutuz, Le Mbebez, William Samwel Malecela. RIP Le Mutuz
  17. Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  18. Yuko wapi mzee Kinana?

    Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi? Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu. Nawasilisha UMK @ Nkotokwiana.
  19. Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  20. D

    Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

    Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…