mzee warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante sana Mzee Warioba, umeongea kile ambacho CCM imeshindwa kuongea

    Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi. Dondoo muhimu Serikali inahusika na mauaji Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

    Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni. Juzi Kati alikua na Mazungumzo na Rais wa Jamuhuri Ikulu alikua katika Position ya Kushauri kuuliza na ku...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku figure out Mzee Warioba na Samia waliongea nini?

    Picha zilitoka juzi wakionekana Ikulu. Katika hali ya mauaji yale , kweli waliigusia? Samia alijibu vile vile kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi Mze Warioba alimshauri nini? Lets guess!
  5. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, nukuu/maneno haya yametolewa na mzee Warioba?

    Wakuu Katika pitipita zangu nimekutana na hizi kauli ambazo zimetolewa na Mzee Warioba ni kweli?
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ana hoja au viroja?

    Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao. Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alikuwa na ujasiri wa kumwambia Samia kuwa hapa ulikosea alipokutana naye jana? Fanya moja mbili tatu?

    Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia. Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29 1. Katiba mpya 2. Tume huru ya uchaguzi 3...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba sikumuona wakati wa kulivunja bunge na leo wakati wa kulizindua bunge. Kunani?

    Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention. Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali. Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba Ongea kitu

    Mzee wetu Warioba kimya chako sio kizuri. Ongea kitu . Kinyume chake utaishia kama ndugu yako Butiku.
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzee Warioba amesema taarifa za uwepo wa Polepole Tanzania zinaukakasi, puuzeni

  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polepole utapigiwa simu na kina Mzee Warioba na Butiku wanaweza kuombwa kuongea na wewe ila kamwe usirudi nyuma. Sema tu uliilopanga

    Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi. Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii inaonyesha sasa umefika mwisho wa uvumilivu na kuheshimu hawa viongozi wenye Viburi. Umetamka kuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

    Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote. Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe. Humphrey Polepole, alipokea swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Swali hilo...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

    Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania. Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, Warioba na wengine wa busara, taasisi za dini zenye busara , inusuru Tanzania mkiwa hai. Kama inavunjwa katiba ya chama ya nchi itakuwaje

    1. Kama mtu anayetegemewa kugombea urais anavunja katiba ya chama chake, akipewa nchi na kipindi cha mwisho, nawahakikishia ataivunja vipande vipande katiba ya nchi 2. Kama kaita Katiba ya Nchi Kijitabu, kwenye urais wa kupata kwa ngekewa, kipindi cha lala salama itakuwaje? 3. Butiku, Warioba...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba na aheshimiwe na watu wote

    Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba. Huyu mzee hapindishi maneno. Binafsi namuheshimu sana. Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba apewe ulinzi zaidi

    Kufuatana na hali ya kiu salama ilivyo tete hivi sasa nchini kuna kila sababu ya kuimalisha ulinzi wa watu muhimu kwa Taifa letu hasa hasa mzee Warioba. Nasema hivi kuwa hali ya kiusalama kuwa tete kutokana na vitendo vya kihalifu vilivyowapata watu wengi hivi karibuni akiwemo father Kitima...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, msikilizeni vizuri Mzee Warioba na siyo Wasira. Mwl. Nyerere na Mzee Mkapa ndo watunga sera za nchi hii

    1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's. 2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko huria lenye uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi na serikali ibaki kuwa regulator na kukusanya mapato...
Back
Top Bottom