mzee warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, msikilizeni vizuri Mzee Warioba na siyo Wasira. Mwl. Nyerere na Mzee Mkapa ndo watunga sera za nchi hii

    1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's. 2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko huria lenye uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi na serikali ibaki kuwa regulator na kukusanya mapato...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba aunga adai Reforms; achambua uozo wa mchakato wa Uchaguzi

    https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa uzalendo. Mambo ya kula kwa urefu wa kamba yake hawana
  4. J

    JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Samia amteue Mzee Warioba na kumtengua Mzee Wassira maana anaendana zaidi na 4R zake

    Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama. Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia maridhiano kati ya CCM na wapinzani. Kwa upande mwingine sioni mantiki ya uteuzi wa Mzee Wassira kwani...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba angefaa kuwa Rais baada tu ya Mzee Mwinyi: ingesaidia kuandaa viongozi

    Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana. Nchi haikuhitaji urais wa majaribio tena bali ilitakiwa inapata viongozi kwa merits. Kinachoendelea sasa hivi toka amalize muda wake mzee...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  7. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Hao wezi waliokuwa wananufaika na Bandari wana nguvu sana; kama wameweza kumwonga na kumshawishi hadi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba , Mzee Butiku ambao ni wazee wa CCM nani tena watashindwa kumwonga? Kwa taarifa zilizotoka hivi karibuni zinaonyesha wanaopinga mkataba huu ni wezi waliokuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela, Mzee Warioba, Dk. Salim, Mzee Msuya, Mzee Butiku mko wapi majadala wa kitaifa kuhusu Bandari?

    NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari? Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu. Mzee...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

    Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba." Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!" Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

    Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba. Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kujitokeza kwa Mzee Warioba (Nyerere's Think Tank ) ni Ishara kuwa kuna Misingi muhimu tunaipuuza na itatugharimu

    Kama ukiwa huna Akili Kubwa na siyo Critical Thinker kamwe Siku zote hutoweza Kumuelewa Genius Mwingine wa Kizanaki Waziri Mkuu, Kada Mwandamizi wa CCM na Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa yale ama anayoyaona au ayasemayo. Amesema na Ameshasema mengi ila kwa leo GENTAMYCINE (Mzanaki...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ile Katiba pendekezwa ya Mzee Warioba si ipo? Kwahiyo tusiendelee nayo na tusipoteze Pesa katika Tume unayotaka Kuiunda?

    Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alieongoza Tume ya Katiba, ndio anastahili kupewa Udaktari wa Heshima

    Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani. Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

    Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?. Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

    WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya... ''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  20. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

    Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba amesema kulazimisha watu wakuite wewe kuwa ni mheshimiwa mbunge, mheshimiwa waziri, mheshimiwa diwani huko ni kuweka matabaka kwenye jamii ya watanzania. Hii inapingana na Naibu Spika alivyogombana na Mbunge wa Mbeya Mjini Mbilinyi. Tulia...
Back
Top Bottom