Kashfa kubwa zilizoibuliwa ndani ya Bunge (2005–2015) wakati wa Utawala wa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, bunge lililojumuisha pumba na mchele (wabunge wa chama tawala na upinzani)
1. Richmond/Dowans (2006–2009)
Serikali iliingia mkataba wa dharura wa kuzalisha umeme na kampuni ya Richmond...
Mzee wangu Jakaya Kikwete naomba nikwambie wewe pamoja na wengine mmelikosea taifa na kwa lolote litakuja tokea historia itahukumu.
Wewe ni Rais pekee ulie baki ktk marais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Wewe ndie rais pekee unaye pokea taarifa za siri kama mstaafu.
Unajuwa shida ya...
Yani watoto pendwa wa mama wote wana wapinzani.
Iweje familia ya mzee Kikwete isiwe na upinzani.
Kwamba huko Mchinga na Chalinze hakuna wana CCM waliotia nia kabisa kuyahitaji hayo majimbo?
Mzee Joseph Butiku jana kaeleza uzuri jambo lilotokea tarehe 19 Januari 2025 kwamba Rais Samia alisita kukubali hoja ya kwamba jina lake lipitishwe kinyemela.
Nimekwishaliongelea hili la kumtayarishia njia mtu fulani ambae sasa yajulikana wazi kuwa ni mwanae mzee Kikwete Ridhiwani Kikwete kuja...
Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.
Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
Wahenga walisema nyakati huzungumza.
Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.
Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO...
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo.
Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana.
Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola ktk chaguzi.
Tumemsikia spika mstaafu mzee Pius Msekwa hakufurahishwa na ushindi wa 99% ambao ccm...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa...
Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema:
"Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao umefanikisha kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali. Mzee kikwete anasema:
Hata wafanyabiashara...
... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020
"Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)."
"Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani!
Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi.
Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana.
Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
bandari
dp world
hapo
jakaya kikwetekikwete
kinana
kuhusu
kusema
kwani
mkono
msimamo
mstaafu
mzeemzeekikwete
rais
rais mstaafu
rais mstaafu kikwete
world
ZAMANI mzee Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kupigwa picha akipanga foleni kuingia katika pambano moja la timu yake aipendayo Yanga. Wakati ule alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Alipenda zaidi soka na kikapu.
Akizungumzia kitu kuhusu michezo anazungumzia kitu anachokifahamu. Majuzi nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.