Hamna kitu kibaya Kama harufu ya bahari, mzazi shtuka

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
Screenshot_20230201-165617_1675259825965.jpg

Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
 
Tatizo warengwa wa ujumbe huu tayari akili zao ziliishathirika na upepo wa bahari utotoni.
 
Ilim huwa haichangamani na Elimu. Mtoto kaanza kulazimisha mfumo wa kutoka kulia kwenda kushoto kwa kukariri kwa viboko na kuimba kwa kurudia rudia kitabu kimoja tuu alichoaminishwa kuwa kina elimu zote na ukimaliza umekuwa daktari, engineer, mwanasheria, mwalimu nk . Halafu anakutana tena na mfumo mwingine rasmi wa vitabu vingi wa kutoka kushoto kwenda kulia ambao ni WA kuelewa sio wa kukariri, unatarajia ataelewa kitu?
 
View attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Hizi akili za kipumbavu hivi kweli hawa ndio great thinkers...JF imevamiwa na vitoto vya facebook wallah tena.
 
View attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Hii ndo mbinu mpya ya mashoga waliokuja nayo, hatupaswi kumshangaa bali kumuelewa tu.
 
View attachment 2502630
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Wewe ni muongo mkubwa sana mbwa wewe
 
Ilim huwa haichangamani na Elimu. Mtoto kaanza kulazimisha mfumo wa kutoka kulia kwenda kushoto kwa kukariri kwa viboko na kuimba kwa kurudia rudia kitabu kimoja tuu alichoaminishwa kuwa kina elimu zote na ukimaliza umekuwa daktari, engineer, mwanasheria, mwalimu nk . Halafu anakutana tena na mfumo mwingine rasmi wa vitabu vingi wa kutoka kushoto kwenda kulia ambao ni WA kuelewa sio wa kukariri, unatarajia ataelewa kitu?
Kwa hiyo Tanzania inaizidi elimu na utaalam Qatar,Iran, Turkey?!
 
Back
Top Bottom