mzanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

    "Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" . Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais. Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans bwatuka. Hotuba yake inakakosa mvuto, vionjo. Anaongea kama kapewa nafssi asalimie wafiwa. Hata...
  2. figganigga

    Wasaidizi Samia Suluhu waomba AFCON iahirishwe hadi 2028

    Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira. Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028. Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu...
  3. Idugunde

    Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
  4. R

    Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  5. Judi wa Kishua

    Huyu mzanzibari Haji Omar Kheir swaiba wake Samia awe wa kwanza kuwajibishwa kwenye mauaji ya October 29. Tuanze na huyu!

    https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali. Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau. Lazima avae karoti!!
  6. Mtemi mpambalioto

    TANGANYIKA ina Mwanasheria Mkuu Mzanzibari na ZANZIBAR ina mwanasheria Mkuu Mzanzibari

    ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano? Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika? mbona mie sielewi?
  7. M

    Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  8. W

    Awamu ijayo, Rais Mzanzibari, Makamu wa Bara, Waziri mkuu Mzanzibari, Spika wa Bara, Combination safi sana kwa muungano

    Rais - Zanzibar Vice P - Bara Waziri mkuu - Zanzibar Spika - Bara Naibu waziri mkuu - Bara Salim Ahmed Salim alishapata kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na akitokea Zanzibar. Mzanzibari kuwa PM halitakuwa jambo geni
  9. Hance Mtanashati

    Nitapiga kura kuchagua chama pinzani sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari.

    Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa. Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee. Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
  10. S

    Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  11. MFALME WETU

    Dada kama hujaolewa na unataka kuonja ladha ya peponi ukiwa hapahapa duniani hakikisha unaolewa na mwanaume tokea kanda ya ziwa au Mzanzibari

    Ugonile, kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa. Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli. Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
  12. masopakyindi

    Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  13. M

    Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
  14. Tulimumu

    Naomba kujulishwa taratibu za kubadili uraia kutoka kuwa mtanzania bara na kuwa mzanzibari

    Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama...
  15. chiembe

    Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  16. Cheology

    GSM ni Mzanzibari?

    Sikuwa najua kuwa Salaa ni ndgu wa GSM family lakini matukio yanatuhqbarisha. Kitendo cha makonda ku confront na salaa mkeka umemuhusu. Lkn sasa lazima niulize pia je hawa watu wana asili ya Zanzibari?
  17. Wimbo

    Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  18. Mwande na Mndewa

    Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA. "Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
  19. MamaSamia2025

    Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
Back
Top Bottom