Anayejua kutafsiri tracking ya mzigo anisaidie hapa

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,957
3,301
Heshima kwa kila mdau.Humu ndo sijawai kukosa jibu. Niliagza mzigo ali express. Nimeambatanisha screenshot ya status. Sikuelewa mzgo umeshikiliwa au la.
 
Attachments

  • Screenshot_20190525-110845_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20190525-110845_Samsung Internet.jpg
    70.5 KB · Views: 36
Hii issue hata mimi imenitokea mwezi huu,nadhani kuna kitu hakiko sawa;
mimi nipo morogoro,ila naambiwa niende posta mpya dar;
yaani hapo anwani imewekwa ya Dar,huku morogoro mzigo haupo;
 
nenda posta dar utapata majibu mazuri;
kwa ufupi mzigo upo Tanzania tayari;
Heshima kwa kila mdau.Humu ndo sijawai kukosa jibu. Niliagza mzigo ali express. Nimeambatanisha screenshot ya status. Sikuelewa mzgo umeshikiliwa au la.
 
Hii issue hata mimi imenitokea mwezi huu,nadhani kuna kitu hakiko sawa;
mimi nipo morogoro,ila naambiwa niende posta mpya dar;
yaani hapo anwani imewekwa ya Dar,huku morogoro mzigo haupo;
Mi anwan ni bukoba na sijaambiwa kitu. Sijui pa kuanzia maana nauli tu inazid thaman ya bidhaa niloagiza. Je umelitatua la kwako? Kivip? Je Posta ya nilipo wana msaada wa correspondences?
 
Nenda posta ya hapo bukoba,waambie tatizo ili mzigo utumwe kuja bukoba;

Back
Top Bottom