Flash disk haionekani kwenye PC

Nyiluka

Senior Member
Jul 26, 2011
122
46
Naomba kujua nifanyaje, flash disk yangu nikiingiza kwenye PC haioneshi chochote (Yaani kama sijaweka kitu). Au ndio ya kutupa tena ishafikia mwisho wake?
 
Ingia disk management kama utaiona. Ipe herufi. Je, ukiiconnect sauti inasikika.
Naomba kujua nifanyaje, flash disk yangu nikiingiza kwenye PC haioneshi chochote (Yaani kama sijaweka kitu). Au ndio ya kutupa tena ishafikia mwisho wake?
 
Kuna vitu viwili hapo mkuu either flash imekufa au drivers zipo outdated watakuja mafundi wakuelezee vizuri ila jaribu ku-update drivers za portable devices huenda ikasoma kama flash itakuwa nzima.
 
Kwenye bios setup unaweza uka disable Port za flash disk zisifanye kazi yoyote. Swali je ukichomeka USB, flash disk nyingine zinafanya zinaonekana kwenye PC yako? Hiyo flash umejaribu kuichomeka kwenye PC nyingine? Kama ina nyimbo ukichomeka kwenye radio zinaimba?

Mwisho inatakiwa ukumbuke hizi device na zenyewe zina muda wao wa kuishi kama ilivyo sisi kwa binadamu.
 
Kama ndio huwa zinakufa hivi, itakuwa kweli imefika mwisho wake. Nashukuru!
 
Zinakufa mkuu ndio mana kuna vitu kama server,backup,recovery.
Unachotakiwa ni kujiridhisha kwanza je imekufa kweli ?
Imekufaje ?
Imevunjika labda uliiweka vibaya,
Kuna virus wanaweza kuiua kabisa.
Mfano hard disk ukiwa una shusha windows mara kwa mara inawai kufa
 
Back
Top Bottom