• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nimesahau password ya account yangu ya email ya Google

N

nelson15

Member
Joined
May 17, 2018
Messages
87
Points
125
N

nelson15

Member
Joined May 17, 2018
87 125
Nimesahau password ya account yangu ya email niliyokuwa nikitumia miaka miwili iliyopita. Nahitaji kuitumia tena lakini nimesahau password.
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
9,345
Points
2,000
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
9,345 2,000
Nimesahau password ya account yangu ya email niliyokuwa nikitumia miaka miwili iliyopita nahitaji kuitumia tena lakini nimesahau password
Nenda palipoandikwa forget password? Na huko usituulize jiongeze hukohuko ila uwe na namba uliyosajilia email hiyo Kama huna kakate gogo kalale..😎
 
N

nelson15

Member
Joined
May 17, 2018
Messages
87
Points
125
N

nelson15

Member
Joined May 17, 2018
87 125
Nenda palipoandikwa forget password? Na huko usituulize jiongeze hukohuko ila uwe na namba uliyosajilia email hiyo Kama huna kakate gogo kalale..😎
Sina nilishapotezaga
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
120,661
Points
2,000
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
120,661 2,000
kasulavenance

kasulavenance

Senior Member
Joined
Jan 23, 2020
Messages
187
Points
250
kasulavenance

kasulavenance

Senior Member
Joined Jan 23, 2020
187 250
NENDA KARENEW NAMBA .JIONGEZE NA WEWE
 

Forum statistics

Threads 1,406,596
Members 532,389
Posts 34,520,620
Top