mwizi

  1. M

    Video: Ingawa ni funzo lakini tukio hili limenihuzunisha sana kuona namna watanzania tulivyo wakatili, hiki sio kipigo ni mauaji

    Ingawa ni fundisho, moyo wangu umejaa wasiwasi mkubwa, nikihofia kwamba roho zetu kama Watanzania zimejaa ukatili kwa kiasi hiki. Kama wananchi hawawezi kujitofautisha na wale wanaofanya uovu, basi bado hatujafikia kiwango cha kweli cha ustaarabu. Jamii iliyostaarabika inaonyesha nguvu yake...
  2. ELI COHEN

    Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  3. Genius Man

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  4. Genius Man

    GE2025 Polisi waliowategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi!

    Polisi walio wategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi 🤣🤣🤣 heti umepewa nafasi ya muda tu ya uraisi unaanza dharau na vichambo sijui mimi amri jeshi sasa ngoja uone mziki.
  5. W

    Kiongozi yeyote wa umma anayekuwa milionea katika ofisi za Serikali ni mwizi

  6. Kubwjing

    TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  8. Fbn

    Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  9. chief swetu

    Polepole kaumizwa na mwizi aliyemficha yeye mwenyewe

    Kumekucha kumechangamka august-21-2025 tueke kumbukumbu sawa, Bwana HPolepole katuamsha na chupa imejaa chai ya moto🔥 balaa. Binafsi kanifikirisha sana, maana Kuna ile simulizi tulisoma darasa la kwanza/pili miaka ya tisini, kwamba wawindaji walikua wanamtafuta chui mla watu wamuue. Chui...
  10. SuperHb

    Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    Habari zenu ndugu zangu...., Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,, Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa...
  11. Scared

    Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  12. Determinantor

    GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  13. Papillon 1906

    MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  14. Shanily

    Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

    Best yangu alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu yake , simu ikawa na password Kila sehemu , mke akaanza kushtuka huyu vipi imekuaje tena. Mume...
  15. Logikos

    Friendly Match: England Apigwa kipigo cha Mbwa Mwizi na WaSenegali (1-3)

    Ni Historia mara ya kwanza kwa Timu ya Afrika kumfunga huyu anayejiita 3 Lions (katika 22 attempts): Ofcourse sio kipigo cha Mbwa mwizi ila hawa wadau wametukatili sana kwenye World Cup kadhaa ngoja tu na hiki nikiite ni cha mbwa mwizi.... https://youtu.be/Rflrb2KUL7M?si=VCilMKc4xqUJ0QTG
  16. L

    Vita ya ushuru ya Trump ni sawa na mwizi kupiga mayowe ya mwizi

    Wakati dunia inaendelea kutafakari mantiki ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya Marekani kuongeza ushuru wa bidhaa kutoka nje, kauli zinazotolewa na Rais Trump kuwa Marekani “imeibiwa, imeporwa na kudhulumiwa” na maadui na marafiki, inakumbusha historia iliyopitia Afrika ya kuibiwa, kuporwa...
  17. GENTAMYCINE

    Mwigulu Nchemba: Mzee Ngure alikuwa Mcha Mungu na mpenda elimu

    Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
  18. Fufua Tumaini Jipya

    Baba yangu alikaa jela mika 7 kwa kosa la kupiga mwizi

    Mwaka 2006 - pale Nyumbani Mwanza ilitokea wezi wakaenda kuiba . Baada ya kuiba wakakamatwa na kuulizwa mmeiba wapi na nani huwa mnamuuzia mkisha iba. Wale wezi wakasema ni huwa wakiiba baadhi ya vitu huwa wanamuuzia mzee . Mzee wangu by that time alikuwa anauza duka la Vifaa vya ujenzi. Ni...
  19. upupu255

    Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  20. Scared

    Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
Back
Top Bottom