mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM Sasa kimefika mwisho

    Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama. Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala. Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
  2. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  3. JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  5. JamiiForums Tanzania Mwisho wa uhai duniani

    Kwa mtazamo wa kisayansi, uhai utakuwa na mwisho. Si kesho wala baada ya miaka milioni, lakini fizikia inasema hakuna kitu kinachodumu milele. Hapa kuna “mwisho” 3 tofauti: 1. Mwisho wa Uhai Duniani - Miaka Bilioni 1 ijayo Jua letu linazidi kuwa na joto taratibu. Miaka milioni 500-600 ijayo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara ilivyo Kimara Mwisho, leo Aprili 13, 2026

    Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
  7. JamiiForums Tanzania Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mwisho wa Kikosi cha Rodwan cha Hezbollah

    Jeshi la Israeli limeunda kile ambacho wengi wanakiita fursa ya mara moja katika kizazi kimoja kusini mwa Lebanon. Baada ya Hezbollah kukusanya idadi kubwa ya kikosi chake cha juu cha Radwan karibu na mpaka, Israeli ilichukua hatua kwa uamuzi: kukata vivuko vya Mto Litani, kutenga uwanja mzima...
  10. JamiiForums Tanzania Mwisho wako: Hiki ndicho kinachotokea mara unapokufa

    Mara tu mapigo ya moyo wako yanaposimama kupiga, mwili wa binadamu huanza mara moja mfululizo maalum wa mabadiliko ya kibaiolojia ya kuoza. Kadiri oksijeni inavyoacha kusambazwa, seli huanza kulegea katika hali inayoitwa kulegea kwa awali (primary flaccidity), kisha hufuatiwa na rigor mortis —...
  11. JamiiForums Tanzania Wangapi tunasubiri mishahara ya mwisho wa mwezi?

    Leo tarehe 28 zimesalia siku 3 hivi kumaliza mwezi wa 3. Sasa kuna wale tayari wameshapokea mishahara yao tangu 22 ambao wengi wao ni watumishi wa Umma. Lakini private wengine tarehe 25 hadi leo wanapokea, halafu kuna wakina sisi hadi MUNGU AKIPENDA yani boss ajisikie kuingiza! Ila ajira ni...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana. Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je huu ndiyo mwisho wa ubabe wa Marekani na kufutwa Mashariki ya kati?

    Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
  14. JamiiForums Tanzania Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

    Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
  15. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  16. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Iran kutawaliwa na US na Israel watapigana mpaka mwisho naaamini.

    Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo haya yamenifanya nione Dunia imefika Mwisho

    MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho. 2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini. 3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

    Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa kisawasawa kituo kinachofwata Israeli inaenda kufutwa kwenye Uso wa dunia na Marekani atapoteza kambi zake...
  20. M

    JamiiForums Tanzania ⚡ Usiku wa Kiza… na Mwisho wa “Black Cobra”

    Katika mitaa ya Dar es Salaam kulikuwa na jina lililotajwa sana na kusikika masikioni mwa watu, sana sana ukanda wa Tabata — Black Cobra. Jambazi aliyekuwa anaogopwa. Aliingia kimya, akatoweka kama kivuli. Watu wengi waliwahi kuibiwa, wengine kujeruhiwa. Hakuwahi kuacha ushahidi. Lakini usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…