Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.
Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi...
Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni...
Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua.
Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible
Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come
Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?
Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli.
Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.
Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo.
Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10.
Latest version ya 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝟭𝟬 ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window 10 nyingine itakayotoka au kupata feature mpya ambazo zinakuja na window ndani yake.
October 2022...
Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni.
Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz...
Statistics
Stephen Aziz Ki
Mechi 21
Dakika 1342
Magoli 9
Pasi za goli 4
CLatous Chama
Mechi 23
Dakika 1836
Magoli 3
Pasi za Magori 14
Clatous Chama
Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa?
CHAMBUA
Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani?
Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali,
Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
Habari Wadau,
Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu kukojoa hovyo ndani ya stendi huku walinzi na migambo wa jiji wakifukuzana na wamachinga tu lakini...
Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho)
wakati wenzao wa North London game ni chache...
Ni mechi ambayo Yanga waliingia kwa kujiamini sana, jambo ambalo ni sumu kwenye mpira wa miguu, wameanza mechi kwa taratibu sana uku wakipoteza ovyo mipira wakiwa wanaamini kwamba watafunga muda wowote.
Wenzao wameingia kwa dhamira moja ya kupata magoli ili kuondoa unyonge wa miaka mingi, na...
Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa...
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote.
Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...