mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa hadithi nzuri na ya mfano miongoni mwa Watanzania

    Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja wa Jamhuri kwenye sherehe ya Mei Mosi, niliendelea kumsikia kwenye taarifa ya habari na kumsoma...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi Toa Maoni yako . "President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP) hajawahi KUKOPA wala KUKOPESHA. Maana yake hakuwa na tamaa

    Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili. Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  6. JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985. Ilikuwa hivi: Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
  8. JamiiForums Tanzania Ucheshi wa mzee Mwinyi: Sukari imeingia sumu

    Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI. Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMU🤣🤣🤣🤣 "Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
  9. JamiiForums Tanzania Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  10. JamiiForums Tanzania Zipo wapi hotuba za mzee Mwinyi akiwa Rais?

    Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
  11. JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri! Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake. Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  12. JamiiForums Tanzania Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  14. JamiiForums Tanzania Kitabu kipi Kimekupendeza na zipi falsafa ulizopenda humo kati ya Mkapa na Mwinyi

  15. S

    JamiiForums Tanzania Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita. Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri. Mungu amrehemu.
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Unyenyekevu ni somo la maisha ya RIP Ali Hassan Mwinyi

    Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani. Padre yule alielezea kuwa adui wa ajira nyingi za watu mbalimbali ni ukosefu wa sifa ya unyenyekevu katika maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Wazee leo imebidi niulize, Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu.... Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii Eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…