mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipande gari gani kutoka Ali Hassan Mwinyi Road kwenda Bamaga?

    Habari zenu. Naomba kujua kutoka mtu anayejua nipande Daladala ipi kutoka Aga Khan kwenda Bamaga.
  2. Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

    Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika. Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
  3. J

    Nakubaliana na Rais Mwinyi kwamba Manaibu Waziri wanaongeza gharama za Serikali naamini Rais Magufuli atafanya hivyo pia!

    Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake. Ni imani...
  4. J

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi anatangaza Baraza jipya la Mawaziri. Hakuna Manaibu Waziri

    Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri. Baraza la mawaziri limetangazwa lakini Wizara mbili zimebaki wazi na uteuzi utafanywa baadae nazo ni Wizara ya afya na Wizara ya Viwanda na Biashara. Rais Mwinyi amesema kwa sasa hakutakuwa na...
  5. Je, kwanini 'Urais' wa Zanzibar umemkubali na kumpendeza kwa 'haraka' sana Dkt. Hussein Ally Hassan Mwinyi?

    Naona kama vile Urais wa Zanzibar ulikuwa unamsubiria kwa hamu Dkt. Hussein Ally Mwinyi kutokana na kwamba 'umempendeza' na 'unampendeza' halafu ameuvaa na wenyewe pia umemvaa vyema na kwa haraka sana kuliko hata 'Marais' wengine waliomtangulia. Watangulizi wake wengi 'Urais' wa Zanzibar...
  6. Hotuba ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

    TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman Makungu; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali...
  7. Q

    Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

    HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza - Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar #MwanaHALISIDigital. ===================== KUMBUKUMBU...
  8. U

    Abdullah Ally Hassan Mwinyi akila kiapo Bungeni Dodoma

    Ni mbunge wa Bunge la Tanzania Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania & Zanzibar Msomi wa Shahada ya Uzamili Sheria aliyoipata Chuo Kikuu Cha Wales nchini Uingereza. Amehudumu akiwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa Miaka kumi kuanzia 2007 Mwanachama hai na Mtiifu wa Chama Cha...
  9. Zanzibar: Rais Mwinyi afanya teuzi za Wajumbe Baraza la Wawakilishi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua Saada Mkuya Salum, Tabia Maulid Mwita, Juma Ali Khatib, Hemed Suleiman Abdalla na Anna Athanas Paul...
  10. B

    Hongera Dkt. Mwinyi panapo nia utaitibu Zanzibar

    Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar. Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa? Hata mtoto mdogo anajua. Kwa bahati mbaya pana watu wameumia na hata wengine kupoteza maisha kwenye...
  11. Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  12. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

    Hapa kazi tu Zanzibar
  13. Rais Hussein Mwinyi ataiunganisha Zanzibar na Bara

    Amezaliwa ndani ya muungano, ameishi Zanzibar na Bara, alikuwa mbunge Bara na Zanzibar, na amekuwa Waziri wa Wizara ya Muungano. Ni mtu sahihi sana kuinganisha vema Unguja na Pemba kisha Zanzibar na Bara. Ni kijana mwenye weledi, utu na muono wa mbali sana. Kama atashindwa yeye kuwaunganisha...
  14. Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  15. Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi huo unaanza Novemba 3
  16. C

    Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  17. Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kuapishwa Novemba 2

    Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Dkt. Mwinyi alishinda baada ya kupata 76.27% ya kura zote halali.
  18. Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Wanabodi, Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea...
  19. Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

    Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27% Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87% Mwinyi...
  20. GE2020 Dkt. John Pombe Magufuli, Adv. Tundu Antipas Lissu, Maalim Seif Sharif Hamadi, Dkt Hessein Ally Mwinyi na wagombea wengine - hongereni kwa kampeni

    Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…