mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    ......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi. Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na...
  2. JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine

    KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr *MAGICAL POWER * Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo? Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na...
  3. JamiiForums Tanzania Kulala peke yako ni bora kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwingine

    Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
  4. JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Je kifurushi chako cha MB, dakika au SMS kikiisha muda wake wajua kuna uwezekano anauziwa mteja mwingine?

    Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi? Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
  6. JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine!

    KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo? Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na elimu ya...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kama hudaiwi, umemaliza yote, unakasirika kuambiwa kuna mengi ya kufanya, unagombea muhula mwingine ufanye nini ???

    Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida. Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni hela zao huku kwetu tufanye maendeleo. Mheshimiwa Mwenyekiti amemkata jina Mbunge Mpina na kusema...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maadamano yakiwa yanaendelea mwingine apigwa na askari

    Maandamano yakiwa yanaendelea huko Kenya ya wanachi wakidai kupatikana haki ya Albert Ojwang ambaye alifariki akiwa gerezani baada ya kupigwa na moja ya askari, katika hali hiyo video hii inamuonyesha moja ya mtu ambaye alikuwa katika maandamano akiwa amepigwa na bunduki na askari waliokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi. Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafaniki

    Wadau hamjamboni nyote. "Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafanikio," Trump aliambia WSJ. “I told the other side, I said, you have 60 days to make the deal. On the 61st...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga vs Tff /Simba sc limechukua sura ya kisiasa

    Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march. Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  13. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gwajima, anaweza fuata kiongozi au mtu mwingine maarufu ndani ya CCM kuja kukoleza moto kwa kuongea na waandishi wa habari

    Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni motive ipi inayofanya wanawake wa-cheat? Upande wa wanaume ni kwa sababu sex drive yake haiwezi vumilia kudatishwa na appeal ya mwanamke mwingine

  16. JamiiForums Tanzania Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  17. JamiiForums Tanzania Kwamba kama Baba angemuoa Mama mwingine nisingezaliwa mimi?

    Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana". Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI. Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani. Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo. Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣. Huamini...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…