mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii. Sasa je hii ni kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
  4. JamiiForums Tanzania PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

    Uzi tayari. Hitimisho: Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Achan na kapola, kuna huyu mwingine pia.

    🚮🚮 Kama ushawahi kupitia content ya huyu jamaa utajua kuwa hii nchi ina vituko haswaa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute kocha mwingine Folz sio kocha

    I will be short Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga . After few minutes huyu sio Kocha Folz out
  9. JamiiForums Tanzania Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  10. JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  11. JamiiForums Tanzania Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

    Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika. Najiuliza,, Simba SC imekuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Marcio Maximo ni Robertihno mwingine kwenye Ligi?

    Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?. === Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?

    Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
  15. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
  16. JamiiForums Tanzania Je kuna mwingine atajiuzulu baada ya PM?

    Makamu wa Rais alijiuzulu kugombea tena. Waziri Mkuu akajiuzulu kugombea ubunge. Je kuna mwingine atajiuzulu kugombea kabla ya Oktoba? Tunafatilia…
  17. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki. Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla hujapewa chako, tumikia cha mtu mwingine kana kwamba ni chako

    Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki. Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…